Posts

Kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya Safaricom imekumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo yameathiri huduma zake za simu

Image
  Kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya Safaricom imekumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo yameathiri huduma zake za simu. Safaricom imesema hitilafu hiyo imeathiri huduma zake kote nchini humo. "Tunakabiliwa na tatizo la kuunganisha simu, data na huduma ya M-Pesa. Tatizo hili kwa sasa linaangaziwa. Samahani kwa usumbufu," kampuni hiyo imeambiwa wateja kupitia Twitter. Jina la kampuni hiyo limeanza kuvuma katika mitandao ya kijamii, wateja wakitaka kujua nini sababu yao kushindwa kupiga simu na kupokea au kutuma pesa. Kampuni hiyo imeesema kiini cha matatizo hayo ni hitilafu katika hifadhi data yake ya GSM, teknolojia inayofanikisha mawasiliano ya simu za rununu duniani. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya, asilimia 71.2 ya watu wanaotumia simu za rununu Kenya hutumia mtandao wa Safaricom. Kampuni hiyo ina jumla ya wateja 27.2 milioni wa simu za rununu. Haki miliki ya picha TWITTER Image caption Majibu ya Safaricom kwa wateja waliokuwa wa...

Jaji Mutungi aibuka kuhusu vurugu za CUF

Image
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ameibuka na kulaani vurugu  zilizotokea juzi katika hoteli ya Vina, Mabibo hapa Dar es salaam, zinazosemekana kuhusisha wanachama wa CUF. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo mchana Jaji Mutungi amesema, "Ni ukweli usiopingika kuwa, suala la mgogoro wa uongozi katika chama cha CUF lipo mahakamani, lakini nikiwa msimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa na kutambuliwa na jamii kuwa ni mlezi wa vyama vya siasa; nimelazimika kuwasihi wadau wa siasa hususani wanachama wa chama cha CUF, kutambua kwamba, kuwapo kwa shauri mahakamani siyo fursa ya kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani, kwani jambo hili ni uvunjifu wa sheria na linaleta sura mbaya kwa jamii," Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo mchana Jaji Mutungi amesema, "Ni ukweli usiopingika kuwa, suala la mgogoro wa uongozi katika chama cha CUF lipo mahakamani, laki...

KAGERA YARUDISHIWA PIONTI TATU

Image
Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amesema Kamati ya sheria imebaini mapungufu kadhaa katika maamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kwanza rufaa ya Simba kukatwa nje ya wakati lakini pia haikulipiwa ada ya sh 300000. Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kuipa simba pointi tatu na kuzirudisha Kagera Sugar. Akitangaza uamuzi huo Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amesema Kamati ya sheria imebaini mapungufu kadhaa katika maamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kwanza rufaa ya Simba kukatwa nje ya wakati lakini pia haikulipiwa ada ya sh 300000. Mbali na hivyo Mwesigwa amesema Kamati ya saa 72 ilipokutana iliruhusu watu wasiokuwa wajumbe wa Kamati kushiriki kufanya uamuzi kitu ambacho ni kosa. Mbali na uamuzi huo Kamati imeitaka TFF kuwachukulia hatua baadhi ya watendaji wa bodi kwa kuipotosha Kamati ya saa 72 ----Chanzo Mwananchi

GWAJIMA AJIPANGA KUNUNUA TRENI

Image
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema amedhamiria kununu treni ya umeme  baada ya Rais John Magufuli kuonyesha dhamira ya kujenga reli  ya kisasa(standard gauge). Gwajima ameyasema hayo leo katika ibada ya Jumapili  huku akimsifu Rais Magufuli kwa kuchukua hatua hiyo.

Rais Magufuli alaani mauaji ya askari wanane

Rais John Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Askari Polisi wanane waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha jana jioni katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu leo inasema askari Polisi hao walikuwa wakitoka kubadilishana doria na wameshambuliwa kwa kupigwa risasi wakiwa wanasafiri kwa gari katika barabara ya Dar es Salaam – Lindi.

DC Kinondoni alia uhaba wa madawati,madarasa, vyoo

Image
DAR ES SALAAM:   Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi amesema Shule za msingi Manispaa ya Kinondoni zinakabiliwa na upungufu wa madawati 19,386, vyumba vya madarasa 2,235 na matundu ya vyoo 6,788, huku akitoa rai kwa mashirika na sekta binafsi kusaidia kutatua kero hiyo. (Chanzo cha habari Mwananchi)

Forbes’ 100 female power list revealed

Image
Forbes Power Women list has been released listing 100 of the most influential, powerful women in the world. The 100-strong list includes “performers, tastemakers, executives and entrepreneurs who are making an impact” across the globe and the “criteria is based on the reach of each woman’s influence and relevance, and ranked by money and media momentum” as well each individuals commitment to “use their celebrity to better the lives of people around the world through philanthropy or humanitarian efforts”. Topping the list is German Chancellor Angela Merkel with Oprah Winfrey coming in at number 12. Beyonce tops the entertainment fiel coming in at number 18 whereas Taylor Swift is placed at number 65. She has been selected for several reasons, including her brave decision to pull all her music from online streaming service Spotify which led to her latest album ‘1989’ achieving the largest first week sales of any LP on the Billboard 200 chart since 2002 and her influence on social ...