Posts

Showing posts from December 1, 2013

SAUDI PRINCESS VISIT SERENGETI NATIONAL PARK

Image
Public Relations Manager of TANAPA Mr. Pascal Shelutete (second left)   welcomes Princess Haifa Bint AbdulAzizi al Mogrin (in a white blouse) and her delegation soon after landing at Seronera airstrip in Serengeti National Park. Looking on (left) is Chief Park Warden of Serengeti National Park Mr. William Mwakilema. Saudi Arabian Ambassador to Tanzania H.E. Hani Mominah (black cap) talking to Chief Park Warden of Serengeti National Park Mr. William Mwakilema. Far left is Dr. Robert Fumagwa who is the Head of Tanzania Wildlife Research Institute Centre in Serengeti. Princess Haifa Bint AbdulAzizi al Mogrin admiring a Hyrax at Serengeti Visitors Information Centre. Princess Haifa enjoying the trail walks. A lion heading towards the princess convoy. TANZANIA NATIONAL PARKS PRESS RELEASE SERENGETI TO HOST FORTCOMING SAUDI TANZANIA YOUTH DIALOGUE FORUM Princess Haifa Bint AbdulAziz al Mogrin of Saudi Arabia has preferred Serengeti National Park for field experience by the par

MHE. LOWASSA AENDESHA HARAMBEE MASASI-MTWARA

Image
Askofu akisalimu waumini Msakofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung’u akisalimu waumini.  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza  harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara  jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u.  Rose Mhando akiimba Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Mas

LG ELECTRONICS YAZINDUA VIYOYOZI VYA KUFUKUZA MBU

Image
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya LG Electronics wa Afrika Mashariki, Moses Marji (kushoto), Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala na Meneja Masoko wa LG, Soyoung Lee, wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo ‘LG Mosquito Away’ jijini Dar es Salaam leo. Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala akihojiwa na waandishi wa habari muda mfupi baada ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.    Baadhi ya watu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuzia mbu vya LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.  Viyoyozi hivyo vinatumia mawimbi ya kielektroniki kufukuza mbu waenezao ugonjwa wa malaria.

Cast your votes for Swahili Fashion Week Awards 2013

Image
Swahili Fashion Week  is   the largest annual fashion platform in East and Central Africa, to date.  Now  in its sixth  year, Swahili Fashion Week is the platform for fashion and accessory designers from Swahili speaking countries and the African continent to showcase their talent, market their creativity, and network with clientele. This is all aimed at emphasizing to the region that  fashion   is  an  income  generating creative industry, whilst promoting “ Made in Africa”  concept. Having  initiated  a dynamic and promising platform for the fashion industry in the region,  Swahili Fashion Week  is now geared towards being the  most  sought out after fashion platform in  Africa  for the international market founded, created and conceptualized in year 2008 by Mustafa Hassanali. In addition to showcasing the best talent in fashion on the continent, Swahili Fashion Week Awards will be celebrating them as well in 18 categories. You can vote for your favourites online

JOY KALEMERA NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT

Image
 Mlimbwende Joy Kalemera akipungia mashabiki baada ya kushinda mashindano ya Miss Tanzania USA Pageant yaliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 30, 2013 kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom uliopo Silver Spring , Maryland   Mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalamera akipewa maua na aliyekua Miss District of Columbia baada ya kutangazwa mshindi kwenye Miss Tanzania USA Pageant ambapo mashindano haya ya kumtafuta Miss Tanzania USA Pageant ndiyo ya kwanza kufanyika kwenye ardhi ya Marekani.   Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera akiwa mwenye furaha baada ya kutangazwa mshinidi wa Miss Tanzania USA Pageant.  Balozi wa Tnzania nchini Marekani na Mexico akimvisha taji Joy Kalemera baada ya kutangazwa mshindi wa Miss Tanzania Pageant Joy Kalemera akipongezwa na washiriki wenzake waliokua nae kwenye kinyang’anyiro hiki kilichoanzia miezi miwili iliyopita.  Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa kwanza katika histori

AZAM TU YAZINDULIWA RASMI NA MH.JANUARY MAKAMBA

Image
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba (MB) akizungumza kwenye uzinduzi wa Azam TV uliofanyika Hyatt Regency The Kilimanjaro Hotel mwishoni mwa Juma. Baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV kitengo cha Huduma kwa Wateja wakiwa wameshikilia Ving’amuzi vya Azam TV wakati wa uzinduzi huo. Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba (MB) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Azam TV mara baada ya kuzindua rasmi kwenye sherehe zilizofanyika mwishoni mwa Juma Hyatt Regency The Kilimanjaro Hotel. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba (MB) katika tete-a-tete na Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd. Rhys Torrington mara baada ya kuzindua Azam TV itakayoanza kurusha matangazo yake hewani Desemba 6 mwaka huu. Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Tv, Rhys Torrington akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi rasmi wa Azam Television jijini Dar es Salaam mwishoni mwa Jum