DR. SHEIN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAASISI YA MWAHARAKATI BIBI BINTI SAAD
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,alipohudhuria katika Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel jana,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya mapinduzi Ya zanzibar (katikati) Bibi Nasra Mohamed Halal Mwenyekiti wa Taasisi. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi na wananchi wakati alipozindua Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Watoto wakiimba nyimbo mbali mbali za michezo ya kizamani ikiwemo nyimbo ya ukuti,wakati wa Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad,ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ka...