Posts

Showing posts from August 11, 2013

JUHUDI ZA DK. MWAKYEMBE NA DAWA ZA KULEVYA, AMNASA RASTA AKISAFIRISHA MADAWA UWANJA WA JNIA DAR ES SALAAM

Image
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akionesha picha ya kijana Leonard Jeremiah Monyo ( Edwin Jeremiah Monyo) ambaye amekamatwa na kete 86 za madawa ya kulevya aina ya heroine Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza  Dkt. Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari

AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 37 KWA WASHINDI WA YATOSHA

Image
Kulia ni meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando akimkabidhi  bw Rashid Hamis (kulia) shilingi milioni moja aliyojishia katika droo ya promoshe ya Airtel yatosha wiki hii. Kati wakishudia toka shoto ni  washindi wengine wa milioni moja bw Hamis Athumani  Esia na Bi Magret Kalenge. Hafla fupi ya makabidhiano imefanyika leo katika ofisi kuu ya Airtel dar es salaam Kulia ni meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando akimkabidhi  bw, Godbless Kweka (kulia) shilingi milioni moja aliyojishia katika droo ya promoshe ya Airtel yatosha wiki hii. Kati wakishudia toka shoto ni washindi wengine wa milioni moja bw Rashid hamis, Bi Magret Kalengea na bw, Hamis Athumani  Esia. Hafla fupi ya makabidhiano imefanyika leo katika ofisi kuu ya Airtel dar es salaam Kulia ni meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando akimkabidhi  bi, Magret Kaengea (kulia) shilingi milioni moja aliyojishia katika droo ya promoshe ya Airtel yatosha wiki hii. Kati wakish...

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIJANA WALIACHA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA IKULU

Image
Kijana Jimmy Changchuu alieachana na matumizi ya dawa za kulevya akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete picha aliyochora yeye na kijana mwenzake wakati vijana hao walimpomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Vijana hao wanalelewa katika kituo cha Pilli Missanah Foundation kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Vijana walioachana na Matumizi ya dawa za kulevya kutoka katika kituo cha Pilli Missanah Foundation kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kulia pembeni ya Rais ni Mwanzilish Kituo hicho Bi.Pilli Missanah na watatu kushoto ni mfadhili mkuu wa kituo hicho Bwana Zacharia Hans Poppe (picha na Freddy Maro)

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAFANYA UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA KIBO

Image
 Meneja Miradi endelevu na uwajibikaji kampuni  ya bia ya Serengeti  Nandi Mwiyombela (Katikati), Meneja wa mauzo wa kanda ya kaskazini Patrick Kisaka (kushoto) na Attu Mynah (kulia) kutoka idara ya mipango wakionyesha mbele ya wasambazaji wa bia na waandishi wa habari aina mpya ya chupa yenye shingo ndefu ambayo bia ya Kibo Gold itapatikana kuanzia sasa, hafla hiyo ilifanyika katika kiwanda cha Serengeti Breweries kilichopo mjini Moshi.   Meneja wa miradi endelevu na uwajibikaji Bi Nandi Mwiyombella akizungumza jambo mbele ya Wanahabari na wageni waalikwa kwenye hafla ya muonekano mpya wa bia ya Kibo Gold

Vodacom yazipiga jeki timu za Wawakilishi Zanzibar

Image
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ali Abdalla Ali (mwenye kofia)akipokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu na wa pete za Baraza la wawakilishi. Vodacom imezipatia timu hizo jezi, suti za michezo, viatu na mipira vikiwa na thamani ya Sh 4.5Milioni. Wanaoshuhudia ni Meneja wa timu Nassor Salum Aljazera(kushoto) na Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohamed Mansour. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa na Vodacom kwa timu za Baraza la Wawakalishi iliyofanyika ofisi za Baraza hilo Mjini Zanzibar. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheri na Naibu Spika wa Zanzibar Ali Abdalla Ali. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheri akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa na Vodacom kwa timu ...