JUHUDI ZA DK. MWAKYEMBE NA DAWA ZA KULEVYA, AMNASA RASTA AKISAFIRISHA MADAWA UWANJA WA JNIA DAR ES SALAAM

Picture 230Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akionesha picha ya kijana Leonard Jeremiah Monyo ( Edwin Jeremiah Monyo) ambaye amekamatwa na kete 86 za madawa ya kulevya aina ya heroine
Picture 234Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza  Dkt. Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akionesha picha ya kijana  Leonard Jeremiah Monyo ( Edwin Jeremiah Monyo) ambaye amekamatwa na kete 86 za madawa ya kulevya aina ya heroine.Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB