Posts

Showing posts from May 4, 2014

RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAFANYIWA HAFLA FUPI NA CHAMA CHA MAPINDUZI YA MAPOKEZI

Image
Makamu Mwenyekiti CCM-Taifa Philip Mangula akibadilishana Mawazo na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Chalinze Mh:Ridhiwani Kikwete hii leo wakati wa hafla Fupi ya Kuwapokea Wabunge wapya wa Jimbo la Chalinze na Kalenga,Hafla imefanyika Makao Makuu ya CCM-Dodoma. Mh:Mwigulu Nchemb akimvisha Skafu huyu Mwimbaji baada ya Kuimba nyimbo ya hisia Kuhusu thamani ya Muungano na namna Wapinzani wanavyotaka Kuipeleka Nchi kwenye Utengano na Ubaguzi.   Mh:Philip Mangula Makamu Mwenyekiti-CCM Taifa akizungumza na Wananchi waliofika Viwanja vya CCM Dodoma Makao Makuu wakati wa Hafla ya Kuwapokea Mh:Ridhiwani Kikwete na Mh:Godfrey Mgimwa. Mangula ameonya Wana-CCM wanaofanya Kampeni kwenye Majimbo mbalimbali wakati Muda wa Kampeni haujafika,Amesema ni Kosa kwa Mtu yeyote anayejipitisha Kwa Wananchi kuomba ridhaa ya Kugombea Kupitia Chama cha Mapinduzi wakati muda haujafika,Ameomba Jimbo la Kalenga na Chalinze Wabunge wao wapewe nafasi ya Kutekeleza ahadi zao kwa Mu...