Posts

Showing posts from August 25, 2013

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli (kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia. (picha na Ofisi ya waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetana Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28,...

ZIARA YA RAIS DR. SHEIN NCHINI UHOLANZI

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam,Rene Van Der Plas,alipotembelea katika bandari hiyo  akiwa katika Ziara ya siku tano na ujumbe wake, nchini Uholanzi, {Picha na Ramadhan Othman Uholanzi]. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,alipokuwa akitoa maelezo kwa Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ukioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara nchini Uholanzi.  [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,walipofika katika Ofisi za Kituo hicho huko katika Bandari ya...

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAFANYIKA DODOMA

Image
Mwenyikiti wa CCM,  Rais Jakaya Kikwete akiteta na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  kabla ya kufungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Agosti 26,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiteta nje ya ukumbi wa CCM  wa White House mjini Dodoma Agosti 26,2013. Kutoka kushoto ni Joyce Masunga, Raphael Chegeni na Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiwa kwenye Kikao chini ya Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete Agosti 26,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiwa kwenye Kikao chini ya Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete Agosti 26,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)