Posts

Showing posts from December 16, 2012

Jocelyine Maro Alipoibuka Mshindi Miss East Tanzania

Image
Jocelyne Maro Mii East Africa Tanzania akipunga mkono kwa mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam akiwashinda warembo wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Ukanda wa Afrika Mashariki na nchi Jirani na Ukanda huo. Jocelyne Maro Mtanzania wa kwanza kushinda taji hilo toka lililpoanzishwa amejinyakulia zawadi zenye tmamani ya dola za kimarekani 30,000 likiwemo Gari aina ya Toyota Verossa, mara baada ya majaji kumtangaza mrembo huyo ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe huku watu mbalimbali wakimpongeza kwa ushindi wake PICHA NA FULLSHANGWEBLOG. Miss Eats Africa Jocelyne Maro akipiga picha ya pamoja na Miss Uganda Ayisha Nagudi mshindi wa pili katika shindano hilo kushoto na Miss Burundi Ariela Kwizera ambaye alipata nafasi ya tatu katika shindano hilo. Miss Eats Africa Jocelyne Maro akipiga picha ya pamoja na warembo wenzake alioingia nao kwenye tano bora ya shind

GODBLESS LEMA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA JIJINI ARUSHA

Image
Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.  Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.  Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema  Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.  Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.  Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama  Watu walining'inia katika magari bila hofu Lena akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari.

JK AKUTANA NA WAKONGWE WA MUZIKI IKULU

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kikumbi Mwanza Mpango "King Kikii"  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Comandoo Hamza Kalala Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Cosmas Thobias Chidumule  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Abdul Salvador "Father Kidevu"  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Flora Mbasha na mumewe  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo Mwasongwe Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwana FA Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwana FA  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Ally Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Shakila huku Carolla Kinasha na Waziri Ally wakisubiri zamu zao --- TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali imeanza kutoa Nishani kwa wasanii kwa vile inatambua umuhimu wao katika jamii. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewaeleza wawakilishi wa sanaa mbalimbali nchini waliofika Ikulu leo asubuhi kutoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais kwa kuwatambua na kuwapa heshima kubwa ya Tuzo na

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MMILIKI NA VIONGOZI WA KLABU YA SUNDERLAND YA UINGEREZA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais), Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia kwake), Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam jana. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia  bada ya  mkutano wa  na Rais Ikulu jijijni Dar es salam jana. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mk

Godbless Lema ashinda rufaa

Image
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Godbless Lema amerudishiwa ubunge wake baada ya kushinda katika rufaa ya kesi yake ya kupinga matokeo iliyosomwa jijini Dar es Salaam leo. Godbless Lema akishangilia mara baada ya kushinda Rufaa yake katika makama ya rufaa Tanzania jijini Dar es salaam  leo.

KAMPUNI YA PRIME TIME PROMOTIONS YATOA MILIONI 105 KUFANIKISHA SHAMRA SHAMRA ZA MKUTANO MKUU WA YANGA

Image
Pichani kulia ni  Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi millioni 105 kwa uongozi wa timu ya Yanga kwa ajili ya maandalizi ya mkutano wao mkuu pamoja na  mechi ya kirafiki ya kimataifa katika kukamilisha shamrashamra za kusindikiza mkutano huo wa kwanza wa uwazi wa kihistoria kwa Club ya Yanga.   Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga na  Makamu Mwenyekiti wa Club ya Yanga,Clement Sanga wakikabidhiana mikataba yao ya makubaliano ya kikazi.   Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga akitiliana saini ya makubaliano na club ya Yanga kuhusiana na makubaliano ya  timu ya Yanga  kusaini mkataba wa maelewano na kampuni ya Primetime Promotions Ltd,ambapo Prime Time Promotions imekubali majukumu ya matayarisho yote ya mkutano wa wanachama wote wa Yanga uliopangwa kufanyika Januari 19 2013. Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga akifurahia jambo na baadhi ya Wanahabari ma

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA HUDUMA YA BIMA YA AFYA KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI

Image
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, (WAMA), Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa huduma za Bima ya Afya kwa vikundi vya SACCOS vya UVIMA (Umoja wa vikundi vya WAMA Tawi la Majohe lililoko wilayani Ilala) na Salma Kikwete SACCOS kilichoko Mkuranga. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 20.12.2012 na kuhudhuriwa pia na Waziri wa Afya Mheshimiwa Dr. Hussein Mwinyi (wa kwanza kushoto). Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya Mheshimiwa Deogratias Ntukamazina (katikati) na kulia ni Afisa wa WAMA ndugu Tabu Likoko akifuatiwa na Grace Michael, Afisa Habari wa Bima ya Afya. (PICHA NA JOHN LUKUWI – MAELEZO -DAR ES SALAAM) Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete na viongozi wengine wakiangalia moja ya kadi ya mwanachama wa bima ya Afya mara tu baada ya kuzindua rasmi huduma ya bima hiyo kwa wajasiriamali wa UVIMA na Salma Kikwete SACCOS kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 20.12.2