Posts

Showing posts from December 30, 2012

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waenda kutoa pole nyumbani kwa marehemu Sajuki leo

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko '  Sajuki' Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo ambako walienda kutoa pole leo Januari 4, 2013. PICHA NA IKULU.

EDWARD LOWASSA AANDAA MNUSO WA NGUVU WA MWAKA MPYA MONDULI

Image
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwapungua mikono wageni waalikwa wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya kusherehekea Mwaka Mpya wa 2013,iliyofanyika nyumbani kwake Monduli. Mbunge wa Jimbo la Kilindi,Mh. Beatrice Shelukindo (wa pili kulia) akiambatana na Mbunge wa Jimbo la Bariadi,Mh. Andrew Chenge wakati wakiwasili kwenye hafla ya Chakula cha Mchana iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2013. Wafanyabiashara maarufu jijini Arusha,Papa King na Mdau Mathias (MNEC) wakiwasili kwenye hafla hiyo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akihutubia wageni mbali mbali waliohudhulia hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2013,iliyofanyika nyumbani kwake,Monduli. waalikwa wakipata Chakula nyumbani kwa Mh. Lowass...

IMF boss arrives in Malawi on landmark visit

Image
International Monetary Fund (IMF) Managing Director Christine Lagarde.  The International Monetary Fund (IMF) managing director Christine Lagarde landed in Malawi on Friday, marking the first ever visit by an IMF chief to the southern Africa nation. Ms Lagarde is to meet President Joyce Banda and her Cabinet in a closed-door session and later address the press. She is also expected to meet civil society organisations, the business community, development partners and prominent Malawi women. According to the schedule released by the Ministry of Foreign Affairs, Ms Lagarde is also expected to visit Microloan Foundation (MLF) before addressing a joint press briefing with Finance minister Ken Lipenga and Reserve Bank of Malawi Governor Charles Chuka on Saturday. Meanwhile, Mr Lipenga has said the IMF's chief visit has nothing to do with the planned January 17 protests over the high cost of living. "The visit of the IMF chief to any country is of special sign...

JK AONGOZA MAZISHI YA SAJUKI JIJINI DAR

Image
 Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa Mazishi yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki  wakati wa mazishi ya msanii huyo  leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika mchana huu kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.

DK. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman akimwelezea Dk Harrison Mwakyembe jinsi uwanja wa ndege songwe unavyofanya kazi toka uzinduliwe mwezi wa 12 mwaka jana na kuwa sasa uwanja huo umebaki maendeo ya maegesho ya ndege kubwa kama boing 737  Mmoja ya wahandisi wa ujenzi wa uwanja huo wa songwe akimwelezea waziri wa uchukuzi Dk Mwakyembe  akimwelezea hatuza za mwisho za ujenzi wa maegesho  ya ndege kubwa Mkuu wa majeshi Tanzani Jenerali Mwamnyange akisalimiana na kuagana na RPC wa Mbeya Diwani katika kiwanja hicho cha songwe kabla ya kuanza kwa ziara ya waziri wa uchukuzi Dk Mwakyembe  Jenerali Mwamnyange akiondoka uwanjani hapo kurejea Dsm alikuwepo Mbeya kwa mapumziko Mafupi Huu ni mnara  wa kuongozea ndege katika kiwanja hicho cha Songwe Mbeya Mwongoza ndege mwandamizi John Chambo akimwezea waziri Mwakyembe jinsi wananvyofanya kazi ya kuongoza ndege katika mnara huo Mkuu wa kitengo cha hal...

MH. MAHANGA, MH. IDDI AZZAN NA RIDHIWANI KIKWETE ,PAMOJA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAHANI MSIBA WA SAJUKI JIJINI DAR

Image
Mkurugenzi wa Maendeleo na Utamaduni wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka (mwenye suti nyeusi) akimfariji Baba mzazi wa Marehemu Sajuki Mzee Juma Kilowoko alipofika nyumbani kwa marehemu kuhani msiba huo Tabata Bima jijini Dar. Mkurugenzi wa Utamaduni na Maendeleo wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka akitia saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Sajuki jijini Dar jana. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fisso akitia saini kitabu cha maombolezo ya Msiba wa Sajuki. Msanii mkongwe katika tasnia ya muziki wa Dansi na Rhumba Kikumba Mwanza Mpango almaarufu kama King Kiki akitia saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Sajuki Tabata Bima jijini Dar. Mzee King Kiki akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utamaduni na Maendeleo wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka (katikati) nyumbani kwa marehemu Sajuki jijini Dar. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fisso Wasanii mbalimbali na wakiendelea kuwasili nyumbani kwa M...