Posts

Showing posts from June 30, 2013

MASANJA, SHILOLE WATEMBELEA VOA NA JENGO JEUPE WASHINGTON, DC

Image
Kutoka kushoto ni Mery Mgawe, Hadija Riyam, Shilole, Sunday Shomari, Dr. Hamza Mwamoyo, Ilham Dirran, Masanja na Raymond Maro katika picha ya pamoja wakati wasanii Shilole n Masanja walipotembelea studio za Voice Of America Idhaa ya Kiswahili Jijini Washington. Msanii Shilole akifanyiwa mahojiano ya Luninga na mtangazaji wa VOA, Sunday Shomari Msanii Masanja Mkandamizaji akifanyiwa mahojiano ya Luninga na mtangazaji Sunday Shomari. Wasanii Shilole na Masanja wakifanyiwa mahojiano ya Radio na mtangazaji wa VOA idhaa ya Kiswahili, Sunday Shomari. Wasanii Masanja na Shilole wakipata picha nje ya mjengo wa Voice Of America. Msanii Masanja akipata picha nje ya jengo jeupe (white House), Ikulu ya ya Rais wa Marekani Msanii Shilole akipata picha nje ya jengo jeupe alipokwenda yeye na Masanja kutembele mjengo huo. Shilole na Masanja wakiwa nje ya jengo jeupe Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na Mdau Liberatus Mwang'ombe kulia ni wa...

BOMOA BOMOA YA MAGUFULI YAIKUMBA JENGO LA BUSINESS PARK DAR ES SALAAM

Image
   

PICHA ZA RAIS OBAMA ALIPOTUA KATIKA ARDHI YA TANZANIA

Image
               Rais Barack Obama akikagua majeshi ya ulinzi na usalama.            Rais wa Marekani Barack Obama pamoja mkwewe wakilakiwa na mwenyeji wao Rais Jakaya Kikwete mara tu walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere leo Jumatatu July 1, 2013 kwa ziara ya siku 2., kushoto ni mama Salma Kikwete. Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu.                 Rais Baraka Obama akicheza ngoma alipokua akipita kwenye moja ya vikundi vya ngoma za asili vilivyokua vikitumbuiza kwa ajli ya ujio wake mara tu aliposhuka kutoka kwenye ndege ya Airforce One   Mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete akitabasamu wakati mgeni wake Rais Barack Obama alipokua akitikisa mwili kwa hisia za ngoma za asili zilizokua zikitumbuizwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wakati wa...

MAMA SALMA KIKWETE KWENYE MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP 2013

Image
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Rais wa Sri Lanka Mheshimiwa Mahinda Rajapaksa wakati wa mkutano wa smart partnership dialogue 2013 unaofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere hapa Dar es Salaam kuanzia tarehe 28.6.2013 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akijiandaa kuzungumza na wake wa Marais na Wakuu wa nchi wakati wa mkutano wa smart partnership tarehe 29.6.2013 kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere hapa Dar es Salaam.  Baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa smart partnership wakimsikiliza Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwenye ukumbi wa Mwalimu Nerere tarehe 29.6.2013. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na Mke wa Mfalme wa Mswati wa Swaziland, Inkhosikati Lambikiza (kushoto), na Mwakilishi wa Mke wa Rais Joseph Kabila wa DR Congo (kulia) wakimwalika Mke wa Makamu wa Rais wa Zambia Mama Charlotte Scott (hayupo pichani) kujiunga nao katika picha ya pamoja mara ba...