Posts

Showing posts from July 7, 2013

BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI LIBERATA MULAMULA AWASILI WASHINGTON, DC

Image
Balozi Liberata Mulamula akishuka kwenye gari Bethesda, Maryland wakati akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia Ijumaa July 12, 2013. Mhe, Mulamula ndiye Balozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekuja kuchukua nafasi ya Balozi Mwanaidi Maajar aliyemaliza muda wake mwanzoni mwa mwaka huu. Kabla ya hapo Balozi Mulamula alikua Balozi wa maziwa makuu na msaidizi wa Rais mwandamizi katika maswala ya diplomasia. Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani waliofika kumlaki kwenye yatakayokua makazi yake Bethesda, Maryland.  Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani waliofika kumlaki kwenye yatakayokua makazi yake Bethesda, Maryland. Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi (hawapo pichani) wakati walipomkaribisha nyumbani kwake, Bethesda, Maryland. Watoto wa Mhe. Balozi Alvin na Tanya...

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA DKT. JUDITH KAHAMA

Image
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji baadhi ya ndugu wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2013.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,sambamba na viongozi wengine wakijadiliana, wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.

PICHA ZA MPAMBANO WA NGUMI WA HALIMA MDEE NA JACK WOLPER

Image

RAIS KIKWETE AONGOZA TAMASHA LA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Image
 JK akitete jambo na Eric Shigongo, mwandaaji wa Tamasha la Matumaini  JK akijiandaa kupiga filimbi kuanzisha mechi ya wabunge wpenzi wa Yanga na Simba  JK akiwa refarii akihesabu wachezaji kabla ya kuanzisha mechi  JK akiaga baada ya kuanzisha mpambano huo   JK akikaribishwa na mwandaaji Eric Shigongo. Kati ni Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara  JK akiingia uwanja wa Taifa akiongozana na Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Eric Shigongo  JK akiwa meza kuu  Meza kuu  Mwandaaji wa tamasha Eric Shigongo akiongea machache  JK akimpongeza Eric Shigongo kwa hotuba nzuri  Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akimkaribisha JK kutoa hotuba yake    JK akisalimiana na wachezaji wa Bongo Movie  JK akipeana mikono na kipa wa zam...