Posts

Showing posts from August 12, 2012

WAZIRI MEMBE AZUNGUMZA NA MABALOZI WA NJE HAPA NCHINI‏

Image
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza masuala mbalimbali na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini leo katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Balozi Juma Mpango  (kushoto)  wa Kongo DRC ambaye pia ni Kiongozi wa Mabalozi hapa nchini, na Balozi Rajab Gamaha  (kulia) , Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Baadhi ya Mabalozi, wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Mhe. Filiberto Ceriani Sebregondi ( kulia ) na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, Mhe. Hans Koeppel (katikati), wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe wakati  akizungumza nao leo katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

BEST OLYMPICS PICTURES

Image
1 of 2 British singer Jessie J performs with Brian May (L) of Queen at the Olympic stadium during the closing ceremony.   Fireworks explode over the Olympic stadium during the closing ceremony of the 2012 London Olympic Games   Spice Girls perform at the Olympic stadium during the closing ceremony British model Lily Cole, Karen Elson, Kate Moss and Naomi Campbell perform at the Olympic stadium during the closing ceremony. A performer surrounded with umbrellas placed to look like a dress takes part inside the Olympic stadium during the closing ceremony. Michael Frater, Yohan Blake, Usain Bolt and Nesta Carter of Jamaica celebrate winning gold and setting a new world record of 36.84 Russia's Evgeniya Kanaeva competes using the clubs in the individual all-around rhythmic gymnastics final Russia's Evgeniya Kanaeva competes using the clubs in the individual all-around rhythmic gymnastics final   Annie Last of Great Britain in action during the Women's Cross-country Mou...

Kenya ranked Africa’s third largest beer market

Image
Kenya is Africa’s third largest alcohol consumer after Nigeria and South Africa, an analysis by Deutsch Bank Market Research has showed. The research, which is based on international beer maker Diageo’s sales on the continent, put Kenya’s alcohol market share at 17 per cent of the continent’s total behind Nigeria with 36 per cent and South Africa with 18 per cent. Deutsch Bank says the other African countries have small fragmented markets, each no bigger than six per cent of the total. “Beyond these two (South Africa and Nigeria) countries the continent’s alcohol market fragments quite quickly with only Angola, Kenya, Cameroon and Congo (DRC) accounting for more than five per cent of the total addressable market,” said Deutsch Bank in its report. The populations of Nigeria, South Africa and Kenya at 160 million, 50 million and 40 million, respectively, have expanding middle classes which are seen as a key attraction to consumer goods companies such as alcohol makers...

RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MPYA WA GHANA, ATEMBELEA MASHAMBA YA MANANASI

Image
Rais Jakaya Kikwete, amesema Tanzania itatuma wataalamu wa kilimo na wakulima wa zao la nanasi nchini, kwenda Ghana kujifunza ukulima wa kilimo cha kisasa cha aina mpya ya nanasi ambayo ndiyo yenye soko duniani. Rais Kikwete aliyasema juzi, wakati alipotembelea mashamba mawili makubwa ya kilimo cha kisasa cha mananasi aina ya MD-2, ambayo ndiyo inauzwa zaidi duniani, katika siku yake ya tatu ya ziara ya siku nne nchini Ghana. Rais Kikwete, aliamua kutembelea mashamba hayo ya Koranco Farms katika Kijiji cha Obotweri na lile la Bomart Farms, lililoko Kijiji cha Dobro, eneo la Nsawan, yote mawili yakiwa kiasi cha kilomita 150 kutoka mjini Accra, ili kujionea mwenyewe kilimo cha aina mpya ya mananasi iitwayo MD-2, ambayo iliingizwa Ghana kutoka nchi ya Costa Rica, kiasi cha miaka 30 iliyopita. Mananasi aina ya MD-2 , ndiyo yanayouzwa duniani na mbegu aina hiyo ya mananasi haipo Tanzania, ambayo wakulima wake, wanaendelea kulima na kupanda aina ya asili ya mananasi ambayo hay...

JK ahudhuria Mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Ghana Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra.