WAZIRI MEMBE AZUNGUMZA NA MABALOZI WA NJE HAPA NCHINI‏


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza masuala mbalimbali na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini leo katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Balozi Juma Mpango (kushoto) wa Kongo DRC ambaye pia ni Kiongozi wa Mabalozi hapa nchini, na Balozi Rajab Gamaha (kulia), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.


Baadhi ya Mabalozi, wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Mhe. Filiberto Ceriani Sebregondi (kulia) na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, Mhe. Hans Koeppel (katikati), wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe wakati  akizungumza nao leo katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.


Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB