WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ZIARANI CHINA
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Benki ya Exim ya China, Bw.Li Ruogu mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Benki ya EXim ya China Bw. Li Ruogu baada ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na rais wa Benki ya Exim ya China , Bw. Li Ruogu kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa China Development Bank (CDB), Bw. Zheng Zhijie kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing Oktoba 17, 2013. kushto ni Waziei wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu na Kulia ni Balozi wa China nchin, Dr. Lu Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Ba...