WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ZIARANI CHINA

IMG_0086Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Benki ya Exim  ya China, Bw.Li Ruogu mjini Beijing Oktoba  17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0097Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Benki ya EXim ya China Bw. Li Ruogu baada ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0102Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na rais wa Benki ya Exim ya China , Bw.  Li Ruogu kabla ya mazungumzo yao  mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0118Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais wa China Development Bank (CDB), Bw. Zheng Zhijie   kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing Oktoba 17, 2013. kushto  ni Waziei wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary  Nagu na Kulia ni Balozi wa China nchin, Dr. Lu  Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0138Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013. Kushoto ni Balozi wa China Nchini Dr. Lu Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0141Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMG_0214Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa China,  Li Keqiang kuelekea kwenye ukumbi  wa mazungumzo  wakati alipowasili  kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba  17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0309Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akigonganisha glass na Waziri Mkuu wa China, Li Keqiang katika hafla ya kutia saini makubaliano ya Ushirikiano katika nyanja mbalimbali kati ya China na Tanzania kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB