Posts
Showing posts from April 21, 2013
Pictures From Behind The Scenes Of Jaguar's New Opulent Video Shoot!
- Get link
- X
- Other Apps
HIVI NDIVYO WALINZI WA CHADEMA WANAVYO MLINDA MWENYEKITI WAO MH. MBOWE
- Get link
- X
- Other Apps
MAJADILIANO KATI YA UJUMBE WA TANZANIA NA BENKI YA DUNIA KUHUSU VIPAUMBELE VYA MAENDELEO YA NCHI YETU YA TANZANIA
- Get link
- X
- Other Apps
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akijibu hoja kwa ujumbe wa Benki ya Dunia huku Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akimsikiliza kwa makini. Kutoka kushoto ni Meneja wa Ubinafsishaji Sekta ya Maendeleo kanda ya Afrika Bi. Irina Astra Khan, Mkurugenzi wa Mipango na Uratibu kanda ya Afrika Bw. Jan Walliser akijibu hoja katika majadiliano hayo. Kulia ni Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier akisikiliza kwa makini. Kutoka kushoto ni Meneja wa Ubinafsishaji Sekta ya Maendeleo kanda ya Afrika Bi. Irina Astra Khan, Mkurugenzi wa Mipango na Uratibu kanda ya Afrika Bw. Jan Walliser akijibu hoja katika majadiliano hayo. Kulia ni Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier akisikiliza kwa makini. Wafanyakazi wa Benki ya Dunia wakifuatilia majadiliano. Ujumbe wa Tanzania pamoja na ujumbe wa Benki ya Dunia wakijadili namna ya kuen...
TASWIRA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM MOROGORO
- Get link
- X
- Other Apps