Posts

Showing posts from September 23, 2012

Mkutano wa Sugu Igawilo, Mbeya!

Image

PRESIDENT KIKWETE MEETS KOFI ANNAN FOR AFRICAN GREEN REVOLUTION FORUM 2012 IN ARUSHA

Image
  President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with the Chairman of the Alliance for a Green Revolution in Africa(AGRA) at Ngurdoto mountain lodge yesterday evening. The Chairman for Alliance for a Green Revolution in Africa(AGRA) Kofi Annan hands over to President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete his autobiography titled,” Interventions, A life in war and Peace,” the book he co authored with Nader Mousavizadeh. Annan gave the President the book at Ngurdoto Mountain lodge in Arusha shortly before the opening of the African Green Revolution Forum yesterday evening. The main focus of the forum is Scaling investment and Innovation for Sustainable agricultural growth and Food Security.(photos by Freddy Maro).

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA MKURUGENZI MKUU WA KWANZA WA TAKUKURU, MEJA JENERALI (MSTAAFU) ANATOLI KAMAZIMA

Image
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa  pole kwa mjane na ndugu wa wa Meja Jenerali Mstaafu  Anatoli Kamazima jana nyumbani kwa marehemu Tegeta, Dar es salaam. Marehemu Kamazima, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia  jana Jumatano ya Tarehe 26 Septemba, 2012 utokana na mshtuko wa moyo, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU.  Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Brigedia Jenerali Mstaafu Tindamanyire, ndugu wa hayati  Meja Jenerali Mstaafu  Anatoli Kamazima,  jana nyumbani kwa marehemu Tegeta, Dar es salaam.  Kulia kwa Rais ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Samwel Albert Ndomba. Marehemu Kamazima, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia  jana Jumatano ya Tarehe 26 Septemba, 2012 utokana na mshtuko wa moyo, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ NA MKUU WA JKT IKULU JIJINI DAR

Image
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba (kulia) kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jana jijini Dar es salaam. Meja Jenerali Ndomba anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali Abdulrahaman Shimbo aliyestaafu utumishi jeshini kwa Umri. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga (kulia) kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jana Ikulu jijini Dar es salaam. Rais Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Devis Mwamunyange (kushoto) na maofisa wa Jeshi Luteni Jenerali Samuel Ndomba, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (wa tatu kutoka kushoto) na Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga mkuu wa JKT walioapishwa jana Ikulu jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

MH:BENARD MEMBE AKIWA NA RAIS OBAMA NA MAMA MICHELE OBAMA

Image
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Waziri Benard Membe, katika picha ya pamoja na Rais Obama na Mama Michele Obama wakati wa hafla ya Viongozi wa Nchi Wanachama za Umoja wa Mataifa iliyoandaliwa na Mhe. Rais Barack Obama jijini New York. Mhe. Waziri Membe yuko New York akiongoza ujumbe wa Tanzania akimuwakilisha Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Bobbi Kristina Brown in car accident

Image
Los Angeles - Bobbi Kristina Brown was involved in a car accident on Sunday,  reports TMZ . The 19-year-old actress - who's the daughter of Bobby Brown and the late Whitney Houston - was a passenger in boyfriend Nick Gordon's black 2012 Camaro when it was severely damaged in Georgia at the weekend. It is still not clear how the accident happened. According to TMZ, the couple had been arguing at the time of the crash which destroyed the entire front end of the vehicle. Nick's Camaro was the only car involved. No one was injured. Police visit after noise complaint After the accident, the car was left without a front bumper and right front tyre and the airbags were deployed, but the car had somehow been returned to the couple's apartment. Police visited the house soon after the accident following a noise complaint, but no one answered the door. An incide nt report shows officers saw the vehicle parked outside the property with its hazard lights on, and it appeared to...

Wazuiliwa Saudia kwa kukosa 'mahram'

Image
Mecca nchini Saudi Arabia Serikali ya Nigeria imeteta vikali kuhusu wanawake elfu moja wa nchi hiyo wanaozuiliwa nchini Saudi Arabia. Wanawake hao ambao wamekuwa wakizuiliwa tangu siku ya Jumapili,walikuwa wanahiji Mecca, lakini wakakamatwa kwakukosa kuandamana na mahram au mwanaume ambaye hawezi kumuoa mwanamke yule mfano babake, kakake au mjomba wake . Mahram pia anaweza kuwa mume wa mwanamke yule. Mmoja wa wale wanaozuiliwa aliambia BBC kuwa wamenyimwa chakula na kwamba walilazimika kutumia choo kimoja licha ya idadi yao kubwa. Balozi wa Nigeria nchini Saudi Arabia, Abubakar Shehu Bunu, anashauriana na maafisa katika ubalozi wa Saudia kuhusu hatma ya wanawake hao. Wadadisi wanasema kuwa wanawake wengi wa Nigeria huingia nchini humo kinyune na sheria ili kufanya kazi ya ukahaba. BBC swahili

Malema did nothing wrong, supporters insist

Image
Julius Malema addresses his supporters after appearing at the Polokwane Magistrates Court. (Themba Hadebe, AP) Expelled ANC Youth League leader Julius Malema said the charge brought against him isn't a serious one. He was addressing supporters outside the Polokwane Regional Court. (Themba Hadebe, AP) Polokwane - Supporters of expelled ANC Youth League president   Julius Malema   said he had done nothing wrong, ahead of his appearance in the Polokwane Regional Court on Wednesday. "There is nothing wrong [with what]... our leader did. If he did anything wrong why [is this case happening] now?" asked a supporter. "It is because we are going to Mangaung. This is just a plan to sabotage our leader." Thulani Motsepe, 23, from Germiston said he took a taxi to Polokwane on Tuesday because he felt he needed to show the world that Malema was innocent. Malema's supporters believed their presence would have an impact on the charges against him. ...

Zimbabwe PM dumped me via text message, says South Africa woman

Image
Zimbabwe Prime Minister Morgan Tsvangirai and Elizabeth Macheka. A South African woman says the PM terminated their love affair through a telephone text message  PHOTO | NATION MEDIA GROUP Zimbabwe Prime Minister Morgan Tsvangirai’s former lover who tried to stop his wedding a fortnight ago says that he dumped her through a text message. Ms Nosipho Shilubane launched an unsuccessful court application to stop Mr Tsvangirai’s wedding on September 15, to Ms Elizabeth Macheka, claiming he had also promised to marry her. Although her appeal was dismissed for lack of merit, the Movement for Democratic Change (MDC) leader’s marriage licence was cancelled after another woman, Ms Locardia Karimatsenga Tembo, convinced the court that he was customarily married to her. Mr Tsvangirai, 60, opted for a customary union with Ms Macheka, 35, amid calls for him to be arrested for allegedly lying under oath. Ms Shulubane, 35, told a South African television station eNews Chanel ...

‘Take a few drops of urine and let us know how you feel’

Image
A Catholic father has been popularising urine therapy, claiming that it cures all ailments, including HIV and Aids. PHOTO  FILE | NATION MEDIA GROUP When the luxuriantly bearded Fr Francis Limo Riwa took a glass of urine at a facility in China which, he claims, healed his backache, the man of the cloth started treating the human waste as the water of life. But now the Catholic priest’s urine-inspired advocacy has kicked up a controversy in the Kenyan region of Meru, with a medical doctor falling short of calling his pursuit a crackpot’s pastime and his church distancing itself from the bizarre therapy. But the doctor and the church might as well keep their opinions to themselves. Every Wednesday morning, a group consisting of mainly members of the Charismatic Union throngs Fr Riwa’s Kieru Prayer House for a praise-and-worship interdenominational mass during which they blend faith healing with healthy doses of fresh morning urine. Fr Riwa has been holding meeti...

VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI MAZISHI YA BABA MZAZI WA TUNDU LISSU

Image
  Wakili wa kujitegemea mkoani Arusha, akisoma taarifa ya wasifu wa baba yake mzee Augustino Lissu Mughwai (86) wakati wa misa ya mazishi wa mzee huyo ambaye pia ni mzazi wa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu.Mzee Augustino alifariki dunia septemba 16 mwaka huu. Waziri wa nchi, sera, uratibu na bunge Mh. William Lukuvi akitoa salamu kwenye msiba wa baba yake na mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu kijijini Mahambe. Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe (wa kwanza kulia) akifuatilia misa ya mazishi ya baba mzazi wa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu MzeeAugustino Lissu Mughwai aliyefariki dunia Septemba 16 mwaka huu. Waziri wa nchi,sera,taratibu na bunge William Lukuvi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa kwenye msiba wa mzee Augustino Lissu Mughwai baba mzazi wa mbunge wa jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu.Wa kwanza kushoto ni naibu waziri wa maliasili na utalii,Lazaro Nyalandu na wa pili kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida,Dk...

Be balanced, Sumaye advices

Image
Katesh. The former Prime Minister, Mr Frederick Sumaye, and the longest serving MP for Hanang, has cautioned Chama cha Mapinduzi (CCM) leaders not to disregard everything said by opposition leaders. Addressing Hanang councillors, he said it would be a grave mistake to assume that opposition parties were there merely to undermine the ruling party and development programmes taking place. He noted that it was equally wrong for the opposition to disregard development programmes initiated by the ruling party because there was clear evidence that something was taking place in Hanang. The former PM said he believed credit for development efforts being made in Hanang and other parts of the country should not necessarily be associated with any political party but members of the public who were actually implementing them. "Leaders have the right to make their manifestos known but when it comes to development projects, they should collaborate to ensure their successful implementation,...

TANZANIA DELEGATION HAND-IN-HAND AS UN HIGH-LEVEL DEBATE KICKS OFF

Image
  Hon. Bernard K. Membe (MP) (right), listens to U.S. President Barack Obama as he addresses the United Nations General Assembly today in New York, USA.  Left is  Hon. Abubakar Khamis Bakary, the Minister for Justice and Constitutional Affairs in the Revolutionary Government of Zanzibar.  Other members of Tanzania Delegation included Chief Secretary Ambassador Ombeni Y. Sefue (behind right) and Ambassador Liberata Mulamula(behind right), Senior Advisor to President Kikwete (Diplomatic Affairs). Hon. Bernard K. Membe (MP) (right), listens to U.S. President Barack Obama as he addresses the UN High-Level Debate of the 67th Session today in New York, USA.  Second Left is  Hon. Abubakar Khamis Bakary, the Minister for Justice and Constitutional Affairs in the Revolutionary Government of Zanzibar and Ambassador Tuvako Manongi (left), Permanent Representative of the United Repub...

Dk Mwakyembe awapa polisi siku 14 kuwataja polisi wa mafuta

Image
Dk Harrison Mwakyembe WAZIRI wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe, amewashukia polisi nchini kwa kuendelea kufubia macho vitendo vya uhalifu na kuahidi kuchukua mkondo mpya kukabiliana na vitendo hivyo. Akizungumza katika ibada maalumu ya shukrani iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Kanisa la Nduli lililopo Ikolo, Kijiji alichozaliwa, Dk Mwakyembe alimtaka Kamanda wa Kanda Maalumu Dar es salaam, kuyaweka wazi majina ya askari wote walioshiriki katika wizi wa mafuta bandarini vinginevyo atahakikisha sakata hilo linakwenda mbali zaidi. Dk Mwakyembe ambaye alitumia muda mwingi kuelezea matukio aliyokumbana nayo kuanzia mwaka 2009, alitoa muda wa wiki mbili kwa polisi kuwataja askari waliohusika na wizi huo vinginevyo alitishia kulifikisha katika ngazi za juu ili wahusika wake wachukuliwe hatua. “Kamanda Kova ana muda wa wiki mbili kushughulikia suala hilo, kabla ya mimi kulifikisha suala hilo ngazi nyingine ili askari hao waweze kuchukuliwa hatua za kisheria badala ya kuendelea ku...

JK NA WAJUMBE WA SASA wa NEC ya CCM

Image
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kabla ya kikao cha NEC, jana mjini Dodoma. Wengine, waliokaa. Kutoka kushoto ni Mawaziri Wakuu wa zamani, John Malecela na Cleopa Msuya, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama,  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa, Rais wa Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Sheni, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Kulia ni Mawaziri wakuu wa zamani Frederick Sumaye na Edward Lowassa.  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wana-CCM, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa hamasa ya Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma ...