Posts

Showing posts from January 6, 2013

JK aongoza kikao cha Asasi ya Siasa ulinzi na usalama ya SADC jijini Dar es salaam

Image
Mwenyekiti wa asasi  ya siasa ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya ya maendeleo ya nchi kusini mwa Afrika (SADC) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine ambao ni wajumbe wa asasi hiyo wakati wa mkutano wa siku moja uliofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana.Wapili kushoto ni Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini,Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji(Watatu kushoto),Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(kulia) na wa kwanza kushoto ni Katibu mkuu wa SADC Dr.Tomaza Salomao. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

LADY JAYDEE NA NDOTO ZA KUGUSA BARAFU YA UHURU PEAK KILIMANJARO

Image
Safari ya Lady Jaydee kufikia katika kilele ya mlima mrefu barani afrika Kilimanjaro, hapa akipata ukodak na kwa nyuma kukiwa na view ya mlima kilimanjaro. Lady Jaydee akipata ukodak pamoja na mumewe na watu wengine kabla ya kuanza safari yake. Safari imeanza na kiuno kashika hii ni sehem ya kwanza tu na kutoka hapo anaitajikutembea kwa muda wa masaa 5 kufika kituo cha kupumzia hadi siku inayofata Good luck Jaydee Moja ya majina ya njia za kuelekea mlimani Hapa Jaydee alivutiwa na jiwe hili baada ya kuandikwa jina lake

LOWASSA ACHANGIA MILIONI 8 KWA VIKUNDI 7 VYA VIKOBA MONDULI

Image
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa amevipatia vukundi saba vya Vikoba vilivyopo Wilayani Monduli,kiasi cha shilingi milioni nane kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao.Lowassa amesema yeye ni mkereketwa mkubwa wa Vikoba huku akisisitiza kuwa ni chachu ya maendeleo na kumkwamua mtanzania kutoka katika umasikini. kila kikundi kimepata shilingi millioni moja ambapo kikundi kilichofanya vizuri kimeongezewa shilingi millioni moja zaidi.Pichani ni Mh. Lowassa akikabidhiwa zawadi na mwenyekiti wa Vikoba Kijiji cha Monduli Juu,Dawson Kaaya wakati viongozi wa vikundi hivyo walipomtembelea nyumbani kwake Monduli. Mmoja wa viongozi wa vikundi vya vikoba Kijiji cha Monduli Mjini akisoma risala mbele ya Mh Lowassa. Baadhi ya wanavikoba wa Monduli Mjini wakimsikiliza Mh. Lowassa. Mhe Edward Lowassa akipewa zawadi na Bi Arafa Ismaild kutoka katika vikundi vya Vikoba Monduli mjini ambao walikwenda kumtembelea nyumbani kwake. Kushoto kwa Mh.Lowassa ni Bw

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AFUNGUA SKULI YA MBUYU TENDE ZANZIBAR

Image
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna mara alipowasili katika Kijiji cha Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini “A”kwa ajili ya kufungua Skuli ya Primary yenye madarasa Manne,ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikata Utepe kuashiria kufungua Skuli yenye madarasa manne katika Kijiji cha Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini “A”,ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipanda Mche wa Mnazi baada ya kuupanda katika eneo la Skuli ya Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini “A”,Baada ya Kuifungua Skuli hiyo ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wanafunzi wa Skuli ya Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini “A”,wakifurahia Baada ya kufunguliwa kwa Skuli yao ikiwa ni Shamra shamra za

RAIS KIKWETE AUNGURUMA NZEGA, AWASILI TABORA KUFUNGA MIRADI ZAIDI

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa kabla hajahutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji. (PICHA NA IKULU) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza maelezo ya Meneja wa TANESCO wa Nzega akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo nishati hiyo Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji. Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais Jakaya Kikwete mkoani Tabora leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Uyui toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya  siku nne ya mko

RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHD SHEIN AFUNGUA KATUO CHA KURUSHIA MATANGAZO YA DIJITALI ZANZIBAR

Image
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akikata Utepe kuonyesha Ufunguzi wa Kituo Kikuu cha Kurushia Matangazo ya Dijitall huko Rahaleo Mkoa wa Mjini Unguja.ikiwa ni Shmra shamra za Kuadhimisha Sherehe za Kutimia Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kituo kikuu cha Mtambo wa Kurushia Matangazo ya Dijitall kilichofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi huko Rahaleo Mkoa wa Mjini Unguja.ikiwa ni Shmra shamra za Kuadhimisha Sherehe za Kutimia Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wapili kushoto akipata maelezo mafupi kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Agape Association LTD Dr Vernon Fernandes wakwanza kuli kuhusiana na Chanall za Dijitall zinavyofanya kazi,baada ya Rais kufungua Kituo Kikuu cha Kurushia matangazo ya Dijitall hapo Rahaleo Mjini Zanzibar.wapili kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk. Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Habari

Messi wins fourth Ballon d'Or

Image
Lionel Messi Zurich - Barcelona and Argentina striker Lionel Messi added yet another record to his stellar list of achievements over the past 12 months on Monday when he won an unprecedented fourth, consecutive, Ballon d'Or at a FIFA gala. The accolade seals Messi's status as the greatest player of his generation after he saw off Real Madrid rival Cristiano Ronaldo and Barcelona teammate Andres Iniesta for the prize. Messi received a vote share of 41.60 percent to 23.68 for Ronaldo and 10.91 for Iniesta. Messi and former French star, UEFA president Michel Platini, had prior to Monday been the only players to win three straight Ballon d'Or awards while Dutch greats Johan Cruyff and Marco Van Basten both won the accolade on three occasions. Spain's Vicente del Bosque was  named coach of the year for 2012 , seeing off competition from Real Madrid's Jose Mourinho and former Barcelona coach Josep Guardiola. Messi's success crowned another landmark year for th

JK AITEKA IGUNGA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutumia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga. Mamia ya wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi mbalimbali waliojitokeza katika mkutano wa hadhara mjini Igunga leo.  Wananchi wa Igunga wakipunga mikono wakati Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akiwahutubua katika viwanja vya Barafu

WAZIRI MKUU AMZAWADIA PIKIPIKI BIBI SHAMBA

Image
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitaka maelezo zaidi kuhusu aina ya mbegu ya mahindi iliyotumika kutoka kwa Bi. Grace Hokororo ambaye ni Bibishamba wa kata ya Itenka wakati alipokuwa akikagua shamba darasa analolisimamia kwenye kijiji cha Itenka wilayani Mlele, Katavi, jana jioni (Januari 6, 2013). Alifurahia kazi yake na kuahidi kumpatia pikipiki imsaidie kutembelea vijijiji vingine vinne anavyovisimamia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Bibishamba wa kata ya Itenka, Bi. Grace Hokororo akipokea zawadi ya sh. 305,000/-  kutoka kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambazo zilichangwa papo hapo na watu alioandamana nao ili kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye shamba darasa. Wa pili kulia ni Bw. Joseph Laurent anayesimamiwa na bibishamba huyo ambaye shamba lake lilikaguliwa na Waziri Mkuu katika kijiji cha Itenka jana jioni  (Januari 6, 2013) wilayani Mlele, Katavi. Pia aliahidiwa kupatiwa pikipiki ili imsaidie kutembelea vijijiji vingine vinne anavyovisimamia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mku

MH. AMANI ABEID KARUME AFUNGUA SKULI YA DONGE ZANZIBAR

Image
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikagua baadhi ya madarasa ya skuli ya Secondary ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipanda Mti katika Uwanja wa Skuli mara baada ya kufungua skuli hio ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitoa hotuba yake ya kufungua skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi. Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume akitia saini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuhudhuria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Aman

Ghana's Mahama sworn in as opposition boycotts

Image
Ghanaian leader John Mahama speaks to supporters during a campaign rally of the ruling National Democratic Congress at Ashaiman, Greater Accra in Ghana on December 3, 2012. Mr Mahama was Monday sworn in as President in a ceremony boycotted by the opposition which is challenging his mandate. Ghana's John Dramani Mahama was sworn in as president on Monday at a ceremony attended by thousands in the capital but boycotted by the opposition, which has challenged the election results. Mr Mahama, who initially became head of state following the death of his predecessor John Atta Mills in July, pledged to build on the west African nation's economic success in a speech after taking the oath. The writer and Afrobeat music fan from the country's north who recently published a well-received memoir pledged to improve the country's infrastructure. "We as a country have inherited a powerful legacy, and we are beneficiaries of a mighty history," the 54-year-ol

Rais Kikwete ahudhuria Sherehe za Kusimikwa Wakfu Askofu Dkt. Alex Seif Mkumbo wa KKKT Dayosisi ya Kati, aanza ziara ya Siku nne ya Mkoa wa Tabora

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo (mwenye fimbo) pamoja na viongozi wa kanisa hilo wakiongozwa na Askofu Mkuu Dkt Alex Gehaz Malasusa (kulia kwa Rais), Msaidizi mpya wa Dayosisi hiyo Mchungaji Syprian Yohana Hilinti (wa tatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Kone na viongozi wengine katika sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida Januari 6, 2013.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  kiongozi wa kanisa la KKKT nchini  Dkt Alex Gehaz Malasusa baada ya kupokea kamba kama ishara ya kupokea zawadi ya ngombe toka kwa Dayosisi  hiyo huku  Askofu  mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo akishuhudia  katika sherehe ya  Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida Januari 6, 2013.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na kiongozi wa kanisa la KKKT nchini  Dkt. Alex Gehaz Malasusa na  Askofu  mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mk