WAZIRI MKUU WA THAILAND Yingluck Shinawatra AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand MheYingluck Shinawatra alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini. Akisalimiana viongozi wa Tanzania.... Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand MheYingluck Shinawatra alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini. Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akikagua gwaride maalum la heshima lililoandaliwa kwaajili yake mara baada ya kuwasili nchini Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra na Mwenyeji wake rais Jakaya Kikwete wakikagua ngoma. Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akisalimiana na baadhi ya raia wa Thailkand wanaoishi nchini alipowasili katika hoteli ya Kilimanjaro Regency Hyatt jijini Dar es...