Posts

Showing posts from October 19, 2014

WAZIRI UMMY MWALIMU ATAKA HALMASHAURI YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA ZA MAZINGIRA

Image
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.Kulia ni wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na watendaji wa halmashauri hiyo. Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akizungumza na watendaji wa kata za manispaa ya Kinondoni(hawapo pichani) wakati wa ziara hiyo.Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty. Badhi ya watendaji wa kata mbalimbali za manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, wakati alipotembelea kujifunza masuala ya usimami...