Posts

Showing posts from August 19, 2012

Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande atembelea clouds Media Group

Image
Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akisikiliza jambo kwa umakini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumza na Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande ofisini kwake mapema jana mjengoni hapo,ambapo baadaye pia alifanya ziara fupi na kujionea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo namna ambavyo vinafanya kazi. Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na wageni wake mara baada ya kufanya mazungumzo nao jana,kwenye ofisi za kampuni hiyo,Mikocheni jijini Dar.

JK, MAMA SALMA NA MJUKUU WAO SHAMBANI KWAO MSOGA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii  katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali  ya kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika Tanzania. Picha na Ikulu   

Godbless Lema afungua matawi ya CHADEMA Daraja Mbili Arusha

Image
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kabla ya Mahakama kutengua Ubunge wake, Mh Godbless Lema amefungua matawi katika Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha juzi August 18,2012. Katika ziara hiyo, Lema aliambatana na Mbunge wa Arumeru Masariki Mh Joshua Nassari pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM kabla ya kujiengua na kujiunga na Chadema mapema mwezi Aprili mwaka huu, Ndg James Ole Millya, ambao nao kwa nyakati tofauti walipata fursa ya kuzunumza. Mbali na suala la uzinduzi na upokeaji wanachama wapya, Lema alifanya harambee ya kukusanya fedha kusaidia shughuli za chama hicho katika Kata hiyo ambapo jumla ya Sh 219,500 zilichangwa na wananchi. Akiondoka eneo hilo, Lema alilazimika kuwatuliza mamia ya watu waliokuwa wanafuatilia msafara wake ili kuepusha kutokea mwanya kwa watu wenye nia mbaya kuleta vurugu na uharibifu wa mali. Baadae msafara wake  ulikatiza mitaa ya Stand Kuu ya mabasi makubwa na kisha kuelekea bustani ya City Park huku njiani akishangiliwa sana na baad...

Miss China wins Miss World contest 2012

Image
                    Yu Wenxia Miss China, Yu Wenxia, wins the Miss World crown for 2012, defeating more than 100 other hopefuls from across the globe. It is only the second time that Miss China has been awarded the title. Last year's Miss World Ivian Sarcos of Venezuela handed over her crown to Wen at a glittering ceremony The 23-year-old MsWen is a music student who wants to become a music teacher, Chinese media reported. Sophie Moulds from Wales was the runner-up, while Australia's Jessica Kahawaty came third. Miss China's triumph on home soil took place in the unlikely location of Ordos, a mining city on the edge of the Gobi desert.