Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande atembelea clouds Media Group


Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akisikiliza jambo kwa umakini.


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumza na Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande ofisini kwake mapema jana mjengoni hapo,ambapo baadaye pia alifanya ziara fupi na kujionea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo namna ambavyo vinafanya kazi.



Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiagana na wageni wake mara baada ya kufanya mazungumzo nao jana,kwenye ofisi za kampuni hiyo,Mikocheni jijini Dar.


Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB