WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA GYKRUM,ARUSHA



Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (AUWSA), Bi. Ruth Koya akisoma hotuba fupi mbele ya Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akifungua rasmi jiwe la msingi katika mradi wa maji wa kijiji cha Gykrum, Karatu Mjini, mkoani Arusha.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akipata maelekezo kutoka Kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (AUWSA), Bi. Ruth Koya pamoja na Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge, katikati ni Mama Tunu Pinda.

Picha zote na Michuzi Blog

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB