Posts

Showing posts from February 17, 2013

RAIS KIBAKI AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI YA SIKU MBILI NCHINI

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini, wakisiliza taarifa ya pamoja ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini...

RAIS WA KENYA AZINDUA BARABARA YA MWAI KIBAKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Image
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph  Mwenda kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.  Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi  jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013  Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mst...

Rais wa zanzibar Dkt.shein atoa salamu za Mwisho kwa Padri Mushi

Image
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa ndani ya Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar wakati wa kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akisalimia na baadhi ya viongozi wa dini na wananchi wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

MKUTANO WA UZINDUZI WA KANDA YA ZIWA

Image
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akihutubia mamia ya wakazi wa Mwanza katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kanda ya Ziwa. Kamanda Alphonse Mawazo akiongea katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kanda ya Ziwa.

WANACCM GONGO LA MBOTO WAMPONGEZA JERRY SILAA KWA KUTEULIWA KUWA MJUMBE WA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Image
Msafara wa waendesha Boda boda ukimsindikiza Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jerry Silaa kwenye viwanja vya Gongo la Mboto alipoandaliwa sherehe ya kumpongeza iliyoenda sambamba na mkutano wa hadhara. Pichani Juu na Chini ni baadhi ya viongozi wa CCM wakimlaki Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jerry Silaa katika Ofisi za CCM kata ya Gongo la Mboto alipopita kutia baraka ofisi hizo akielekea kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa kwa ajili ya kumpongeza. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Jerry Silaa akitia saini kitabu cha wageni cha Ofisi za CCM kata ya Gongo la Mboto. Msafara wa Jerry Silaa ukiwasili uwanjani hapo kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Gongo la Mboto. Mjumbe wa kamati kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jerry Silaa akipunga mkono kwa wananchi, WanaCCM waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara ulioenda sam...

PINDA AKUTANA NA PANDE MBILI MGOGORO WA NANI ACHINJE NYAMA ULIOTOKEA HUKO GEITA

Image
Sheikh Hasani Kabeke wa Mwanza  akichangia katika kikao cha klutatafuta muafaka kati ya Waislamu na Wakristo kuhusu uchanjaji wanyama kilichoitishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa Banki  Kuu jijini Mwanza Februari 16, 2013.(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu) Viongozi wa madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam na Kikristo kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Viongozi wa madhehebu ya Dini ya Kiislam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam na Kikristo kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, Askofu Mpemba akichangia katika kikao kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Viongozi wa di...

AZAM FC YAIPIGA EL NASIR FC YA SUDAN KUSINI MABAO 3-1

Image
Mchezaji wa timu ya Azam FC Kipre Cheche akiwania mpira katikati ya wachezaji Ladu Manas kulia  na Joseph Odongi  wa timu ya El Nasir FC ya Sudan Kusini katika michuano ya Kombe la Shirikisho uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Timu ya Azam imeibuka na ushindi wa magoli 3-1 ambapo wafungaji wa Mgoli hayo ni Abdi Kassim, Kipre Cheche na John Boko wakati lile la timu ya El Nasir FC limefungwa na mchezaji Fobian Elias, huu ni mwanzo mzuri wa timu ya Azam FC ambapo timu hizo zitarudiana wiki mbili zijazo nchini Sudan Kusini. Mchezaji wa timu ya Azam FC Abdi Kassim akipiga mpira wa kichwa na kufunga goli la kwanza mbele ya mchezaji wa timu ya El Nasir FC Simon Amaya. Mchezaji Abdi Kasim akishangilia kwa kusujudu mara baada ya kufunga goli la kwanza kwa timu yake huku wachezaji wenzake wakimuangalia. Kikosi cha timu ya El Nasir FC ya Sudan Kusini kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo huo. Kikosi cha timu ya Azam FC kikiwa katika pic...