Posts

Showing posts from March 31, 2013

Hip-Hop’s Top 5 Wealthiest

Image
1. Sean  “Diddy”  Combs Sean “Diddy” Combs  rose to mainstream fame in the late  1990s rapping about his desire for Benjamins, otherwise  known as $100 bills. He rose to mainstream fame in the late 1990′s rapping about his desire for Benjamins, otherwise known as $100 bills. A decade and a half later, he might need to consider some larger denominations—McKinleys, Clevelands and Madisons, perhaps—to express his wealth.  Diddy ranks No. 1 on this year’s Forbes Five  list of hip-hop’s wealthiest artists , with an estimated net worth of $580 million. The bulk of the Bad Boy Records founder’s wealth comes from non-musical ventures, namely his deal with  Diageo ’s Ciroc.  The agreement entitles him to eight-figure annual payouts and a nine-figure windfall if the brand is ever sold—and Ciroc’s value has never been higher. “It is one of the fastest-growing brands within vodka,” says Jack Russo, an equity analyst at  Edward Jones  & Co. “Consumers are feeling a little bit be

MAZISHI YA WAKILI NYAGA MAWALA NCHINI KENYA

Image
Mwili wa marehemu Nyaga  Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa  Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Chadema ni miongoni mwa waombolezaji waliokuwa kanisani nchini Kenya. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe,Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Lazaro Nyarandu na Sir George kahama wakiwa kanisani wakishiriki misa ya maziko ya marehemu Nyaga Mawalla. Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Buriani akiwa na mwanasheria maarufu Jijini Arusha anayemiliki kampuni ya uwakili ya Law /Access Advocates Mosses Mahuna wakiwa nje ya kanisa la Lutherani nchini Kenya. Mbunge wa Jimbo la Simanjiro wilani Simanjiro mkoani Manyara Christopher Ole Sendeka na Waziri wa zamani wa mambo ya ndani Laurence Marsha wakiwa kanisani nchini Kenya maziko ya marehemu Poul Mawalla Kiongozi wa Dini wa Kanila la Kilutheri Kenya la Uhuru Highway akiongoza Mazishi.  Sir George Kahama na mkewe wakiweka shada la maua katika Kaburi la Mare