Posts

Showing posts from January 12, 2014

MHE.LOWASSA APOKEA KITABU CHA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Image
Javed Jafferji , Tanzania top photographer and film maker had a pleasure to present a copy of his new book, Zanzibar Photographic Journey - 50 years of the Revolution to former Prime Minister of United Republic of Tanzania,  Hon Edward Lowassa in Zanzibar last week. The book consists of 328 pages and it took almost one year to publish .

MVUA MKOANI DODOMA YAWA KERO KWA WAFANYABIASHARA JAMATINI

Image

MWENYEKITI WA CCM WASHINGTON AMTEMBELEA MHE.LOWASSA

Image
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya bunge ya mambo ya nje akifurahia jambo kutoka kwa mwenyekiti wa ccm tawi la Washington DC  George Sebo aliyekwenda kumtembelea Mh Lowassa ofisini kwake jijini dar es salaam.

RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT SALMIN AMOUR

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi. PICHA NA IKULU

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAWAZILI WALIOLAZWA MUHIMBILI, CLEOPA MSUYA NA HARUNA ALI SULEIMAN

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Kulia ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na  Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Kushoto ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Katikati ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja...