RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT SALMIN AMOUR

S1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.S2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
PICHA NA IKULU

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AENDESHA KIKAO CHA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR LEO

Zimbabwe's President motorcade in 4th fatal crash