VIONGOZI WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA JUMUIYA JIJINI ARUSHA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na maelezo yake baada ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha. Mfano wa jengo la Makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika chemba ya mikutano ya Bunge la Jumuiya ya Afrika mashariki katika jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya baada ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika chemba ya mikutano ya Bunge la Jumuiya ya Afrika mash...