Breaking News:Sharo Milionea afariki dunia kwa ajali ya gari



Muigizaji mashuhuri wa tasnia ya filamu nchini Husein Mkiety "Sharo Milionea" amefariki dunia kwa ajali ya gari wakati akiwa safarini kuelekea Tanga. Taarifa ya mkuu wa Polisi Tanga inasema marehemu alikuwa ndani ya gari aina ya Harrier lililopinduka wilaya ya Muheza kijiji cha Lusanga. Tunatoa salaam za rambirambi kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wa Sharo Milionea walioguswa na msiba huu. Hakika bongomovies imepoteza nguzo muhimu.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB