Posts

Showing posts from March 24, 2013

MH EDWARD LOWASA AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI MAZISHI YA NYITI ARUSHA

Image
    Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa pia alikwenda kutoa pole katika msiba wa Moja wa wazee maarufu eneo la Mto wa Mbu, mzee Athman. Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe akiweka udongo Mh Lowassa akisalimiana na Mh Mbowe Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe akiweka shada la maua

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa China Xi Jinping Waweka Shada la Maua katika makaburi ya wataalamu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA

Image
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais wa China Xi Jinping wakiweka mashada ya maua katika makaburi ya wataalamu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA.Viongozi hao waliweka mashada hayo ya maua katika makaburi hayo yaliyopo katika kijiji cha Majohe,Ukonga jijini Dar es Salaam. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan wakiweka maua katika makaburi ya wataalamu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA huko katika kijiji cha Majohe,Ukonga nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam huku Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wa Rais Xi Jinping wakishuhudia.Picha na Freddy Maro-IKULU

NEW PRESIDENT OF CHINA XI JINPING RECEIVES ROUSING WELCOME IN DAR ES SALAAM

Image
 China's new President Xi Jinping arrived in Tanzania today ahead of   a three-nation Africa tour also taking in South Africa and the Republic of the Congo. President Xi  flew into  Dar es Salaam with his wife from Moscow. After holding official talks scores of ministers and CEO of Chinese companies signed a totalo of 16  accords before the new President of China gave  a keynote speech on relations with Africa during a state banquet later on. He is scheduled to head to Durban, South Africa, tomorrow   for a summit of leaders of the world's major emerging economies, known as the BRICS, on Tuesday and Wednesday, and could endorse plans to create a joint foreign exchange reserves pool and an infrastructure.  Banners with smiling faces of the two presidents  Welcome to Tanzania a girl greets the President of China and his wife after she and the boy gave the visiting dignitaries bouquet of flowers  President Jakaya...

STARS YASHINDA 3-1 DHIDI YA MOROCCO

Image

TASWIRA:MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA

Image

MISS UTALII TANZANIA TAIFA 2012/13 NDANI YA MEDITERRANEO HOTEL

Image