WAZIRI MKUU AONGOZA MAZISHI YA ASKOFU SIMALENGA
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akisalimiana na Maaskofu wa kanisa la Anglican nchini wakati alipowasili kwenye kanisa kuu la Anglican la Njombe kuhudhuria mazishi ya Askofu wa Dayosisi ya South West Tanganyika, , John Andrew Simalenga Novemba 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pindaakitoa heshima za mwisho kwa Askofu John Andrew Simalenga katika mazishi ya Askofu huyo wa Dayosisi ya South West Tanganyika ya Kanisa la Anglican lyaliyofanyika Njombe Novemba 28, 2013. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa la Anglican nchini, Dr. Jacob Chimeledya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mwili wa Askofu wa Kanisa la Anlican Dayosisi ya Southa west, John Andrew Simalenga ukitelemshwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika wenye kanisa kuu la Dayosisi hiyo mjini Njombe Novemba 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Anne Makin...