Posts

Showing posts from January 20, 2013

PRESIDENT KIKWETE AT WORLD ECONOMIC FORUM 2013 IN DAVOS,SWITZERLAND

Image
  President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets Belgium Princess Astrid in Davos Switzerland during the World Economic forum. The two leaders later participated in a Global Health and Diplomacy Dinner.   President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Global Fund Executive Director Dr.Mark Dybul(second left) at Hotel Sheraton in Davos Switzerland during the World Economic forum. Left is    Global Fund’s Director for Resource Mobilization Dr.Christoph Benn. President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete speaks with Germany Federal Minister for Development Mr. Dirk Niebel    at Hotel Sheraton in Davos During the World Economic Forum(WEF) meeting yesterday.

Tanzania yapokea Bilioni 28.2 kutoka Japan kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri na kilimo nchini

Image
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini msaada ambapo Serikali ya Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri jijini Dar es salaam na kilimo hapa nchini.Msaada huo umesainiwa jana jijini Dar es salaam na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada kwa niaba ya Japan na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania.  Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati za msaada ambapo Serikali ya Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri jijini Dar es salaam na kilimo hapa nchini.Msaada huo umesainiwa jana jijini Dar es salaam na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada kwa niaba ya Japan na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania. Wazir

PRESIDENT KIKWETE AND TONY BLAIR PARTICIPATES IN A MEETING ON MOBILISING PRIVATE SECTOR INVESTMENT IN AFRICAN ENERGY

Image
President  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  speaks during  a World Economic Forum session on “Mobilizing Private Sector Investment in African Energy,” held at World Food Programme  Tent in Davos, Switzerland. On the left  is USAID administrator Dr. Rajiv Shah  and second left is former British Prime Minister Tony Blair. President  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  speaks during  a World Economic Forum session on “Mobilizing Private Sector Investment in African Energy,” held at World Food Programme  Tent in Davos, Switzerland. On the left  is USAID administrator Dr. Rajiv Shah  and second left is former British Prime Minister Tony Blair. President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  and former British Prime Minister Tony Blair leaves World Food Programme tent in Davos, Switzerland after participating in a meeting on “Mobilizing Private Sector Investment in African energy,” yesterday(photos by Freddy Maro)

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI MKESHA WA MAULID MNAZI MMOJA DAR

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkesha wa sherehe za Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W).   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumin wa dini ya Kiislamu, katika mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013. Kushoto kwake ni ,Sheikh Mohamed Ismail.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana Januari 24, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za mkesh

MSAFARA WA SEKRETARIETI YA CCM KUELEKEA KIGOMA WAPOKELEWA STESHENI DODOMA ALFAJIRI YA LEO

Image
Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro  akiwa ndani ya treni asubuhi hii akiwapungia mkono WanaCCM wa Mkoani Dodoma waliofika kuwalaki na kuwatakia safari njema Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM Msafara wa Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, ukiongozwa na Katibu Mkuu, Abdulrahaman Kinana  kuelekea Mkoani Kigoma katika maadhimisho ya Miaka 36 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi umefika salama Mkoani Kigoma na kupata Mapokezi makubwa kutoka kwa wana CCM mkoani hapo. Msafara huo ulio na Wajumbe hao wane wa Sekretarieti ya CCM, na wanahabari pamoja na maofisa kadhaa wa Chama hicho ulizna safgari yake jijini Dar es Salaam Januari 25, 2013 majira ya saa 8:30 jioni na kusafiri usiku mzima njiani hadi kufika Mjini Dodoma. Wakiwa njiani Usiku huo wajumbe hao walijumuika katika chakula katika Behewa maalum linalotoa huduma hiyo ndani ya Treni hiyo.

RAIS KIKWETE AZURU MAKAO MAKUU YA FIFA

Image
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter na Rais w Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) Leodegar Chilla Tenga (kulia) wakati Rais Kikwete na ujumbe wake walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum wa FIFA. Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akimweleza jambo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter (kulia) kuhusiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodeger Chilla Tenga. Tenga ambaye pia ni Mwenyeketi wa   Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki (CECAFA).   Rais wa FIFA Joseph Sepp Blatter akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete bendera maalum ya FIFA. Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter wakiwa katika mazungumzo wakati Rais Kikwete na Ujumbe wake walipo walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwali

MSAFARA WA CCM KUELEKEA KIGOMA WAFIKA MOROGORO KWA TRENI

Image
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinbduzi CCM, Abdulrahamn Kinana akizungumza na wana CCM wa Mkoa w Morogoro waliofika katika stesheni ya Tazara Mjini Morogoro kuwalaki wakati wa safari yao ya kuelekea mjini Kigoma katika madhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kitaifa yanafanyika mjini Kigoma Februari 3, 2013

CLOUDS MEDIA GROUP WAUKARIBISHA MWAKA 2013 KWA MNUSO WA NGUVU

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga akiwa sambamba na mke wake,ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,ya Prime Time Promotions Ltd,Johayna Kusaga,akizungumza mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hiyo waliokutana kwenye hafla fupi (hawapo pichani) ya kuukaribisha mwaka na kuzungmza mambo mbalimbali ikiwemo na mafanikio yaliyopatikana mwaka jana,pia kuwashukuru kwa ushirikiano wao mkubwa ambao wamekuwa wakionesha kwenye kampuni hiyo kwa umoja. Boss Joe akiwaomba wafanyakazi wote wazinyanyue glassi zao za vinywaji juu na kuzigonganisha kwa pamoja kuonesha upendo,mshikamano na ushirikiano.Baada ya hapo Wafanyakazi walipewa ruksa ya kula kunywa na kujimwaya mwaya.  Shampeni ikimiminwa baada ya kufunguliwa.  Mtangazaji wa kipindi cha power breakfast,Gerald Hando akizungumza jambo mbele ya Wafanyakazi wenzake kabla ya kufungua shampeni,wa pili kulia ni Barbra