Tanzania yapokea Bilioni 28.2 kutoka Japan kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri na kilimo nchini






Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini msaada ambapo Serikali ya Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri jijini Dar es salaam na kilimo hapa nchini.Msaada huo umesainiwa jana jijini Dar es salaam na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada kwa niaba ya Japan na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania.
 Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati za msaada ambapo Serikali ya Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri jijini Dar es salaam na kilimo hapa nchini.Msaada huo umesainiwa jana jijini Dar es salaam na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada kwa niaba ya Japan na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania.
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa (kushoto)  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) jana jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini msaada na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada (kulia) ambapo Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo.
Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada (kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo katika picha) jana jijini Dar es salaam picha ya muonekano wa makutano ya TAZARA  mara baada barabara za juu kwa juu zitakapokamilika baada ya kusaini na Serikali ya Tanzania ya kuipa msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo. Kushoto ni Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB