Posts

Showing posts from October 6, 2013

Rais Dr. Jakaya Kikwete azindua Shule ya Sekondari ya Miono, Bagamoyo

Image
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuizindua rasmi shule ya sekondari ya Miono iliyopo Wilayani Bagamoyo, akishuhudiwa na   Naibu Waziri wa Elimu  na Mafunzo ya Ufundi, Mhe Philipo Mulugo Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoa wa Pwani.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maktaba ya Shule ya Sekondari ya Miono Muda mfupi baada ya kuizindua shule hiyo jana Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  wanafunzi wa kidato cha tano wanaosoma Shule ya Sekondari ya Miono Wilayani Bagamoyo, Nyekwabi Jackline George,Penina Odara na Magret Machinyita wakitoa maelezo ya jaribio la sayani somo la biolojia wakati Rais alipofungua rasmi shule hiyo.  Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

AIRTEL YAADHIMISHA WIKI KWA WATEJA

Image
  Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba  akiongea kabla ya kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika  katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake kulia  ni Afisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo na Lulu Mashiba.     Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa   pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya  maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao  Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.     Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba  akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika  maadhimisho ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa  wateja Deogratius Hugo.   Ukataji wa keki.  Mkurugenzi wa Hudu...