RAIS KIKWETE AWASILI BUKOBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU SITA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. Fabia Massawe baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Bukoba leo tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku sita mkoani humo Rais Kikwete akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman ambaye pia yuko mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi Rais Kikwete akisalimiana na Mstahiki Meya wa Bukoba Mhe Anatory Amani Vijana wa Skauti wa Bukoba wakimlaki Rais Kikwete uwanjani hapo Wanahabari toka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kazini Kijana wa Skauti akipiga saluti kuomba kumvisha skafu Rais Kikwete Rais Kikwete akivishwa skafu Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli. Kushoto ni Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo Rais Kikwete akisalimiana na viongozi na wananchi waliofika uwanjani kumlaki ...