Posts

Showing posts from October 21, 2012

RAIS DK SHEIN ASHIRIKI SALA YA EID EL HAJJ

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika  swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Baadhi ya Waislamu na wananchi wakisikiliza Hotuba,baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini ya Kiislamu baada ya kuswali swala ya  EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

BABYLOVE KALALA AIBUKA MSHINDI REDD'S MISS TALENT 2012

Image
Mshindi wa Redd's Miss Talent 2012,Babylove Kalala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na warembo wengine walioingia hatua ya tano bora ya Redd's Talent iliyofanyika usiku huu katika hoteli ya Gireffe,jijini Dar es salaam.Kutoka kulia niMshiriki namba 13 kutoka kanda ya Mashariki,Joyce Baluhi,Mshiriki namba 15 kutoka Temeke,Catherine Masumbigana,Mshiriki kutoka Kanda ya Mashariki,Irene Verda na Mshiriki namba 26 kutoka Kinondoni,Brigit Alfred.  Mgeni Rasmi katika Onyesho la Redd's Miss Talent,Mbunge wa Viti Maalum - Arusha,Mh. Catherine Magige (katikati) akizungumza machache wakati akifungua shoo hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni waandaaji wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Giraffe,Dk. Charles Bekon.  Mshiriki namba 30,Waridi Frank akionyesha umahiri wake wa kucheza ngoma za asili.  Mshindi wa Redd

Justin Timberlake ready for Kilimanjaro

Image
Los Angeles - Justin Timberlake is finally set to climb Mount Kilimanjaro. The newlywed  SexyBack  singer - who is currently on honeymoon with new wife Jessica Biel after getting married in Italy last Friday - is said to have rescheduled the challenge after being forced to pull out of it in January 2010. A source told E! News that the singer-turned-actor will join Lupe Fiasco and take part in a star-studded trek up the African peak in the near future. The source said he will follow in the footsteps of his new wife Jessica by scaling the summit in a bid to bring attention to the problem of unsafe drinking water in developing countries. The 31-year-old star previously admitted he was ''bummed'' after work commitments for his movie  Social Network  forced him to cancel doing the trek alongside  Total Recall  actress Jessica two years ago. 'An inspiring task' He said at the time: "I was bummed that I wasn't able to do it, because I thought it would be

MWENYEKITI MPYA WA UVCCM APATIKANA

Image
Dk. Sheni akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma. (Picha na Bashir Nkoromo). Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akiwa na Mwenyekiti mpya wa UVCCM,  Khamis Sadifa Juma na Makamu Mkt UVCCM, Mboni Mhita baada ya viongozi hao wapya wa Umoja huo kutangazwa kuwa washindi leo katika uchaguzi mkuu wa UVCCM uliofanyika jana mjini Dodoma.   Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma. Kamanda wa Chipukizi Kingunge Ngombale-Mwiru akijadili jambo na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama wakati wa kutangazwa matokeo. Katibu Mkuu wa UVCCM Martine shigela akimkaribisha meza kuu Khamis Sadifa Juma bada ya kutangazwa mshindi.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VIKUU ELIMU YA JUU VYA AFRIKA MASHARIKI

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa  Umoja wa Mawaziri wa Afrika Mashariki, Musa Sirima, wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu   unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na  unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa  Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Augustine, Dkt. Charles Kitima, wakati alipokuwa akitembelea kukagua mabanda ya  maonyesho baada ya kufungua mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu  unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya  Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo  mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.     Makamu wa Rais

SPIKA ANNA MAKINDA ASHIRIKI MKUTANO WA 127 WA IPU, MJINI QUEBEC, CANADA

Image
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na mratibu wa mahusiano baina ya Global Fund  na Mabunge Duniani Ndg. Svend Robinson, walipokutana kabla ya kuanza kwa mkutano wa 127 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Mjini Quebec, Canada Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimtambulisha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mhe. Dr. Perpetua  Nderakindo Kessy kwa Balozi wa Tanzania Chini Canada Mhe. Alex Massinda kabla ya kuanza kwa mkutano wa 127 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Mjini Quebec, Canada Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifuatilia taarifa mbalimbali na maazimio ya Mkutano wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 127 wa IPU Mjin Quebec, Canada. Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania Chini Canada Mhe. Alex Massinda na Mhe. Hamad Rashid Mohamed Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza ujumbe wa Tanzania kupiga kura kuingiza agenda mojawapo kati ya agenda 5 za dharura zilizowasilishwa kwa udharura katik

RAIS KIKWETE NA MKUTANO MKUU WA NANE WA UVCCM MJINI DODOMA LEO

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012. PICHA NA IKULU Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum Mwakilishi kutoka chama tawala cha  Zimbabwe Chipanga Kudzanai, kutambua mchango wa chama hicho kwa CCM, wakati wa Mkutano Mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) leo  Okt 23, mjini Dodoma. Mjumbe kutoka mkoa wa Mwanza, akipiga kura kuchagua Mwenyekiti, wakati wa Mkutano Mkuu wa UVCCM mjini Dodoma Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela akitoa utaratibu kabla ya kuanza uchaguzi mkuu wa ju

250 Somalia students off to Turkey for further studies

Image
Somalia students boarding a Turkish Airlines plane in Mogadishu to go for further studies in Turkey October 21, 2012.  ABDULKADIR KHALIF | NATION MEDIA GROUP Some 250 Somali students have left for further studies in Turkey under a scholarship programme. The students left Mogadishu on Sunday for Istanbul and came from different parts of Somalia, with most of them having qualified after being vetted online. The Turkish Ambassador to Somalia, Dr Koni Torun, saw the students off and disclosed that the scholarship holders would be attending various universities. One hundred and fifity students would be attending masters and doctoral studies, Dr Torun said, with the rest pursuing undergraduate courses. Turkey has been offering humanitarian and development assistance to Somalia since its Prime Minister Recep Tayyip Erdogan visited the Somali capital Mogadishu in August 2011, Last year, hundreds of Somali students benefited from Turkish scholarships. In addition,

MAKAMU WA RAIS AKIHUTUBIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA AKINA MAMA WAJASIRIALIAMALI KUTOKA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika, uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye  Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini Tanzania. Picha na  OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika, uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye  Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini Tanzania. Picha na  OMR

CHADEMA WAKIMNADI MGOMBEA UDIWANI SHINYANGA

Image