Posts

Showing posts from June 23, 2013

PICHA: MPOKEZI YA RAIS OBAMA NA MKEWE NCHINI SENEGAL

Image

RAIS MAHINDA WA SRILANKA ATUA NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

Image
Rais Wa Sri Lanka Me.Mahinda Rajapaksa akikagua gwaride la heshima liliandaliwa na Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo asubuhi kwa ziara ya kikazi nchini.  Mtoto Faith Warioba nayesoma katika shule ya awali ya Montessori jijini Dar es Salaam akimlaki kwa maua Rais Mahinda Rajapaksa wa Srilanka muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi nchini huku Rais Dkt.Jakaya Kikwete akishuhudia.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Mahinda Rajapaksa wa Srilanka muda mfupi baada ya kuweasili nchini  kwa ziara ya kikazi leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik.  Rais wa Srilanka Mhe.Mahinda Rajapaksa akisalimia na Msaidi wa Rais Masuala ya Kidiplomasia Balozi Liberata M...

Dkt Bilal Ampokea Mfalme Mswati Awasilini Nchini kwa Ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa SMAT PATNERSHIP Juni 28

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati ii, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati ii, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smat Patnership...

LUCY TOMEKA ANYAKUA TAJI LA REDDS MISS KINONDONI 2013

Image
  Mshindi wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza kuwagalagaza wenzake wapatao 12 katika kinyang’anyiro hicho kilifanyika jana ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.      Akivalishwa utambulisho wake.   Warembo waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).    Tatu bora ni katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi.

SPIKA WA ZAMANI SAMWEL SITTA AAGWA NA BUNGE

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  kabla ya kukabidhi zawadi zake pichani kwa Spika mstaafu. Samuel Sitta katika hafla ya kumuaga Spika  huyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013.Kushoto kwake ni mkewe Tunu na  wengine kutoka kulia ni Mke wa Spika wa Zamani Margareth Sitta, Spika wa zamani Samuel Sitta na Spika wa Bunge Anne Makinda. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu na Spika wa Bunge pamoja na Mzee Samwel Sitta spika wa bunge aliyepita wakiwa katika meza kuu Spika wa bunge Anne Makinda akizungumza  katika hafla ya kumuaga Spika Mstaafu Samuel Sitta kwenye viwanja vya bunge Mjini  Dodoma juni 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mheshimiwa Dr. Maua Daftari  ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya  hafala ya kumuaga Spika wa zamani Samuel Sitta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)