Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015
Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1 Dida – Times FM D’Jaro Arungu – TBC FM Diva – Clouds FM Mariam Kitosi – Times FM Millard Ayo – Clouds FM Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2 Ala za Roho – Clouds FM Amplifaya – Clouds FM Hatua Tatu – Times FM Papaso – TBC FM XXL – Clouds FM Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3 Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV Salama Jabir – EATV/Maisha Magic Salim Kikeke – BBC Swahili Sam Misago – EATV Zamaradi Mketema – Clouds TV Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4 Friday Night Live – EATV In My Shoes – EATV Mkasi – EATV Planet Bongo – EATV Take One – Clouds TV Blog/Website inayopendwa TZW5 djchokamusic.com issamichuzi.blogspot.com jamiiforums.com millardayo.com timesfm.co.tz Muongozaji wa video anayependwa TZW6 Abby Kazi Adam Juma Khalfan Hans...