MAKAMU MWENYEKITI CCM ZNZ AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CHAMA
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa skafu na Kijana Chipukizi,Pili Hassan Suluhu, wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja jana asubuhi,kwa ajili ya Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakielekea katika jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,kwa ajili ya kuweka saini kitabu cha wageni,wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM T...