KATIBU MKUU WA UVCCM MARTIN SHIGELA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KILIMO NA KUKAGUA MIRADI KIGOMA VIJIJINI


5Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM Bw. Martin Shigela akishiriki katika kupalilia shamba la Karanga katika kijiji cha Nkungwe Tarafa ya Mabembe Wilaya ya Kigoma Vijijini wakati alipotembelea na kujionea shughuli mbalimbali na kukagua miradi inayotekelezwa na wananchi kwa pamoja na Serikali jana.
3Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nkungwe wakati alipotembelea katika kijiji hicho jana
4Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akikabidhiwa zawadi ya mihogo na Bi Asha Ibrahim mara baada ya kutembelea shamba lake jana, .Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha muhogo bra katika mkoa wa Kigoma.
8Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiongozana na Bw.Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini mbele yake wakati akikagua shughuli za ukulima wa kisasa katika kijiji cha Nkungwe Kigoma Vijijini, Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha muhogo bra katika mkoa wa Kigoma.
9Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimsaidia Bi. Asha Ibrahim kufukia mbegu ya Viazi, huku viongozi mbalimbali wa CCM  wilaya ya Kigoma Vijijini wakishuhudia tukio hilo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB