RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE ZIARANI MISUNGWI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni wakati alipowasili katika Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kuanza ziara ya kikazi . Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanzilishi na Mkurugenzi wa Shirika la Africa School Home Bibi.Aimee Bessire wakufunua kitambaa katika jiwe lamsingi kuashiria kuzindua rasmi Shule ya msingi Ntulya.Shule hiyo imejengwa kwa ufadhili wa Shirika la Africa School Home lenye makao yake nchini Marekani(picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu muda mfupi baada ya kuzindua rasmi Shule ya msingi Ntulya,iliyopo kata ya Mondo, Wilayani Misungwi,Mkoa wa Mwanza. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na bvaadhi ya watoto waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Shule ya Msingi Ntulya,katika kata ya Mondo,wilayani Misungwi, jana. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba motto Paulo Muhangwa muda mfupi baada ya kuzindua shule ya Msingi Ntulya wilayani Misungwi,Mkoani Mwanza jana. Rais Dkt.Jakaya Mrisho...