RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE ZIARANI MISUNGWI

0L7C3677Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni wakati alipowasili katika Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kuanza ziara ya kikazi .
0L7C3747Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanzilishi na Mkurugenzi wa Shirika la Africa School Home Bibi.Aimee Bessire wakufunua kitambaa katika jiwe lamsingi kuashiria kuzindua rasmi Shule ya msingi Ntulya.Shule hiyo imejengwa kwa ufadhili wa Shirika la Africa School Home lenye makao yake nchini Marekani(picha na Freddy Maro)
0L7C3813Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu muda mfupi baada ya kuzindua rasmi Shule ya msingi Ntulya,iliyopo kata ya Mondo, Wilayani Misungwi,Mkoa wa Mwanza.
0L7C3909Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na bvaadhi ya watoto waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Shule ya Msingi Ntulya,katika kata ya Mondo,wilayani Misungwi, jana.
0L7C3957Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba motto Paulo Muhangwa muda mfupi baada ya kuzindua shule ya Msingi Ntulya wilayani Misungwi,Mkoani Mwanza jana.
0L7C4083Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalmiana na baadhi ya wauguzi katika hospitali ya wilaya ya Misungwi wakati wa uzinduzi wa huduma ya X Ray katika hospitali hiyo,
0L7C4104Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisiliza maelezo ya huduma ya Xray kutoka kwa mganga Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Dr.Marco Mwita Magessa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua huduma hiyo katika hospitali ya Wilaya ya Misungwi jana.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB