Posts

Showing posts from January 13, 2013

YANGA YASHINDA GOLI 3-2 DHIDI YA BLACK LEOPARDS YA AFRIKA KUSINI

Image
Wachrezaji wa timu ya Yanga wakishangilia mara baada ya kufunga goli la kwanza katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini. Mashabiki wa Yanga wakishangilia wakati timu yao ikicheza kwenye uwanja wa Taifa jioni hii. Kikosi cha timu ya Yanga kikiwa katika picha ya pamoja. Kikosi cha timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini kikiwa katika picha ya pamoja .

SIMBA ILIPO LALA 3-1 KWA TIMU YA TAIFA YA JESHI LA OMAN

Image
  Simba walipofunga goli.

DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA LA ZANZIBAR ZBC

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Baadhi ya watendaji wa Taasisi mbali mbali wakifuatilia kwa makini agenda za mkutano wa Saba ( 7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizotolewa katika Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Baadhi ya watendaji wa Taasisi mbali mbali wakifuatilia kwa makini agenda za mkutano wa Saba ( 7

SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZA MBEYA

Image
 Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri wa Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akikata utepe kuzindua Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air, Michael Shirima.    Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akishuka kutoka katika ndege ya shirika la Precision Air wakati wa uzinduzi wa Safari za Mbeya – Dar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kabla ya kukata utepe kuzindua safari hizo. Nyuma yake ni Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Michael Shirima.   Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air (PW), Michael Shirima, (Kushoto) akiteta jambo na abiria wa kwanza kununua tiketi ya safari ya Mbeya wakati wa uzinduzi wa Precision Air wa  njia ya Mbeya – Dar, Bw. Alfred Mwambeleko Jumatano hii.    Mzee akisaidiwa kupanda ndege, ambaye ni mkazi wa mkoani Mbeya wakati wa uzinduzi wa Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya – Dar uliofa

MAMA SALMA KIKWETE AWASILI ARUSHA JIONI YA LEO ,TAYARI KWA KUFUNGA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI AFYA YA MAMA NA MTOTO

Image
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC. Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha,Mama Itanisa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC. Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Arusha,John Mongela mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC. Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,Liberatus Sabas mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho a

MZEE MKAPA NA MZEE MSUYA WATOA MAONI YA KATIBA LEO

Image
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akibadilishana mawazo na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Jan 16, 2013). Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu leo jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa (kulia) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na Dkt. Salim Ahmed Salim. Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa (kulia) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na Dkt. Salim Ahmed Salim. Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Waziri Mkuu Ms

RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO JIPYA LA HOSPITALI YA HINDU MANDAL JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013.Picha na Ikulu

Kenya's President Kibaki visits Malawi

Image
Kenya's President Mwai Kibaki. Kenyan President Mwai Kibaki arrived in Malawi for a three-day official visit where he is expected to discuss trade and bilateral ties with his counterpart Joyce Banda. The two are also expected to discuss the reopening of the Malawi High Commission in Kenya which was closed 10 years ago. President Joyce Banda and Vice-President Khumbo Kachale welcomed Kibaki, the third African president to visit Malawi since she took over office. Kibaki who addressed an impromptu press conference at the airport said the visit was important, as the two countries share mutual ties. "You will come to know the reasons why I am in this country. We will keep you informed," he told journalists. According to Steve Nhlane, the Malawi presidential spokesperson, Kibaki is expected to lay a foundation stone for a by-pass road. Recently President Banda announced plans by her government to re-open its high commission office in Nairobi as part

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Walivyoung'uruma Kwenye Mkutano Wa CHADEMA Njiro Moshi

Image
 Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongopzi mbalimbali wa chama cha demokrasia na maendeleoCHADEMA,wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa. .  Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi .  Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara .  Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.  Vijana wa sarakasi wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi.  Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwapongeza Vijana wa Sarakasi  Moja ya wakazi wa mji wa Moshi ambaye jin

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Ampokea Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na Rais wa Benin,Dkt. Boni Yayi

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha mgeni wake Mheshimiwa Dkt.Boni Yayi wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu julius Nyerere usiku wa Jana Usiku   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Dkt.Boni Yayi wakifurahia jambo katika hoteli ya Kilimanjaro Jana usiku. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na Rais wa Benin, Mheshimiwa Dkt. Boni Yayi amewasili nchini usiku wa jana, Jumanne, Januari 15, 2013, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, Rais Boni Yayi amepokelewa na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete mara ndege yake ilipotua kiasi cha saa tano unusu usiku.Leo asubuhi, viongozi hao wawili watafanya mazungumzo rasmi kabla ya Rais Boni Yayi kuondoka nchini kuendelea na ziara yake Barani Afrika.

Mama Salma Kikwete aandaa sherry party ya mwaka mpya

Image
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wenza wa mabalozi wanao ziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na wake wa viongozi wakati wa hafla ya Mwaka mpya(New Year Cherry Party) iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wenza wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania wakati wa hafla ya mwaka mpya(New Year cherry Party) iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam 

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SIKU 3 WA AFYA YA MAMA NA MTOTO,JIJINI ARUSHA

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Afya na wa Mkoa wa Arusha, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na viongozi wa Mkoa wa Arusha wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Afya