Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Walivyoung'uruma Kwenye Mkutano Wa CHADEMA Njiro Moshi



 Maelfu ya wananchi
waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway
Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongopzi mbalimbali wa chama cha demokrasia
na maendeleoCHADEMA,wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa. .
 Katibu mkuu wa
Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika
mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi .
 Mbunge wa jimbo la Arumeru
Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya
Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara .
 Mbunge wa jimbo la
Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano
ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.
 Vijana wa sarakasi
wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara
uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi.
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwapongeza Vijana wa Sarakasi

 Moja ya wakazi wa mji wa Moshi
ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akicheza wakati wa mkutano wa
hadhara wa Chadema uliofanyika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi
Mbunge wa jimbo la
Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa
Kilimanjaro Basl Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB