Mama Salma Kikwete aandaa sherry party ya mwaka mpya



 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wenza wa mabalozi wanao ziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na wake wa viongozi wakati wa hafla ya Mwaka mpya(New Year Cherry Party) iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wenza wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania wakati wa hafla ya mwaka mpya(New Year cherry Party) iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam 

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AENDESHA KIKAO CHA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR LEO

Zimbabwe's President motorcade in 4th fatal crash