RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO JIPYA LA HOSPITALI YA HINDU MANDAL JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya Hindu
Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo
Januari 16, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi
na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya
kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya
Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo
Januari 16, 2013.Picha na Ikulu

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB