MH. AMANI ABEID KARUME AFUNGUA SKULI YA DONGE ZANZIBAR



Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikagua baadhi ya madarasa ya skuli ya Secondary ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipanda Mti katika Uwanja wa Skuli mara baada ya kufungua skuli hio ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitoa hotuba yake ya kufungua skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi.
Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume akitia saini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuhudhuria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume katika picha ya pamoja na Maofisa mbali mbali katika hafla ya ufunguzi wa skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi.PICHA NA YUSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB