CLOUDS MEDIA GROUP WAUKARIBISHA MWAKA 2013 KWA MNUSO WA NGUVU



Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga akiwa sambamba na mke wake,ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,ya Prime Time Promotions Ltd,Johayna Kusaga,akizungumza mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hiyo waliokutana kwenye hafla fupi (hawapo pichani) ya kuukaribisha mwaka na kuzungmza mambo mbalimbali ikiwemo na mafanikio yaliyopatikana mwaka jana,pia kuwashukuru kwa ushirikiano wao mkubwa ambao wamekuwa wakionesha kwenye kampuni hiyo kwa umoja.




















Boss Joe akiwaomba wafanyakazi wote wazinyanyue glassi zao za vinywaji juu na kuzigonganisha kwa pamoja kuonesha upendo,mshikamano na ushirikiano.Baada ya hapo Wafanyakazi walipewa ruksa ya kula kunywa na kujimwaya mwaya.


 Shampeni ikimiminwa baada ya kufunguliwa.

 Mtangazaji wa kipindi cha power breakfast,Gerald Hando akizungumza jambo mbele ya Wafanyakazi wenzake kabla ya kufungua shampeni,wa pili kulia ni Barbra Hassan,B Dozen,Eprahim Kibonde,Millard Ayo pamoja na Dina Marious.
























Dj Zero akiangusha ngoma live ndani ya kiota cha maraha cha Escape 2 .

























Baadaye wafanyakazi wa Clouds Media Group walianza kupata chakula cha pamoja kama uonavyo pichani. 























Dj Mayanga akiangusha ngoma za kufa mtu ndani ya Escape 2





























 Mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,Paul James a.k.a PJ akifurahia jambo na Meneja vipindi wa clouds FM,Sebastian Maganga ndani ya kiota cha maraha cha Escape 2. 


























Dj PQ aliyekaa wakipiga stori na sebastian Maganga pamoja na PJ.

    






















Mzee wa Kipindi Cha Jahazi,Eprahim Kibonde na mdau mwingine wakipata vitu laini laini safi kabisa.




















                                     


          Dada Regina Mwalekwa akiwa amepozi na Bonge Barabarani.

 Cheersssss
                  























Pichani kulia ni mdau mkubwa wa Clouds Media Group,Dauda wa Kota akifurahia jambo na Dada Regina Mwalekwa.
 Sehemu ya kikosi kazi cha Clouds Tv wakishangilia jambo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB