WAZIRI MKUU WA THAILAND Yingluck Shinawatra AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand MheYingluck Shinawatra  alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Akisalimiana viongozi wa Tanzania....
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand MheYingluck Shinawatra  alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  akikagua gwaride maalum la heshima lililoandaliwa kwaajili yake mara baada ya kuwasili nchini
 Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra na Mwenyeji wake rais Jakaya Kikwete wakikagua ngoma.
 Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  akisalimiana na baadhi ya raia wa Thailkand wanaoishi nchini alipowasili katika hoteli ya Kilimanjaro Regency Hyatt jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013kwa ziara rasmi ya siku tatu

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mandhari ya bandari ya salama Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia Ikulu nwa mgeni wake  Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili  leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo rasmi na Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili na ujumbe wake jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 
Picha na Ikulu

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB