LADY JAYDEE NA NDOTO ZA KUGUSA BARAFU YA UHURU PEAK KILIMANJARO


Safari ya Lady Jaydee kufikia katika kilele ya mlima mrefu barani afrika Kilimanjaro, hapa akipata ukodak na kwa nyuma kukiwa na view ya mlima kilimanjaro.







Lady Jaydee akipata ukodak pamoja na mumewe na watu wengine kabla ya kuanza safari yake.

Safari imeanza na kiuno kashika hii ni sehem ya kwanza tu na kutoka hapo anaitajikutembea kwa muda wa masaa 5 kufika kituo cha kupumzia hadi siku inayofata Good luck Jaydee


Moja ya majina ya njia za kuelekea mlimani
Hapa Jaydee alivutiwa na jiwe hili baada ya kuandikwa jina lake

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB